RC Makonda kumpiga marufuku Zitto Kabwe kuita waandishi ili kuzungumzia suala lolote la Jiji la Dar

Pompeo hakukosea kumpiga ban kuingia USA
Eti mtu huyu ndiye hua anaalikwa pale wasafi kwny kipindi cha dini J2 kuja kuhubiri kuhusiana na amani na upendo huku yule lil mwasha akijisemesha ooh my God,ooh haleluya,Ooh Jesus

Unafiki bana.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti @Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es
Hivi kipindi kile cha Corona alimkamata? Acche bange zake na hasira zake za kunyimwa na Boss wake asigombee Ubunge
 
Ulevi wa madaraka safari hii ni mwingi sana kuliko ule wa bhangi
Tutayaona mengi kwenye utawala huu wa awamu ya tano.......

Kumbe kuna ma-RC wameigeuza mikoa wanayoiongoza kuwa their own property?

Hivi utawezaje wewe kama raia wa kawaida kabisa wa Jiji hili la Dar, kuweza kuwapiga marufuku raia wengine wasiweze kuongelea suala lolote la kitaifa mkoani kwako, kwa kile unachokiita kuwa umempiga marufuku kuongea jambo lolote katika mkoa unaoouita wa kwako?
 
Eti mtu huyu ndiye hua anaalikwa pale wasafi kwny kipindi cha dini J2 kuja kuhubiri kuhusiana na amani na upendo huku yule lil mwasha akijisemesha ooh my God,ooh haleluya,Ooh Jesus

Unafiki bana.

Kwani bwana huyo ni mchungaji?
 
Kamwambie aache bange, na wewe pia acha bange na kuropoka ropoka kila wakati. Itafikia mahali hata kama uko na point watu watakupuuza. Take my advice
 
Kamwambie aache bange, na wewe pia acha bange na kuropoka ropoka kila wakati. Itafikia mahali hata kama uko na point watu watakupuuza. Take my advice
 
Tatizo liko kwa watu wa ujiji kuchagua mtu Zitto kabwe mkazi wa masaki dar es salaam kuwa mbunge wao!!! Hajielewi kuwa anatakiwa ziara na kuongelea aongelee ya jimbo Lake la kigoma faeces's salaam Tuna wabunge wetu na viongozi WA serikali wetu hatuhitaji msaada wake makonda na wabunge wa far es salaam WA CCM na upinzani wanatoshsa kutuwakilisha na kutusemea hatuhitaji msaada wa mbunge kutoka mwandiga kigoma mshamba atusemee
 
Back
Top Bottom