Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Aisee
Alidhamiria kupindua serikali huyo...
Hakujua Kuna vitu haviwezekaniki
Alikua hatari kabisa! Ni kama nina kamkosi nao tu maana mdogo wake mwingine nae kuna siku alijiongeza kuwa anajua kinachoendelea so it was like blackmailing me.
 
Nimesha poa.

Kinachochekesha ni siku ukute mwanamke anataka, halafu wewe mwanaume ndio siku hiyo umechoka. Weeeee siku hiyo utasumbuliwa nakuambia hautalala usiku utasukwasukwa kama nini sijui, utaamshwa hata kama umelala. Ukikaza ndio kununiwa na malalamiko yasiyoisha oooh siku hizi hunijali, lazima una mchepuko, kuna mahali umetoka.... yaani wanawake nyie jamani!! 🤣🤣🤣
Mwanamke akikwambia anataka.... Hakika jitahidi Sana kumpatia anachokihitaji. Huwa tunakuwa katika hali mbaya Sana.... Kiwango cha akili kushindwa kufanya kazi vizuri 😂🤣
 
Wanawake:-
Jumatatu - kichwa kinauma

Jumanne - nilikuwa bize nimechoka Sana

Jumatano - Nina blidi

Alhamis - Nina blidi

Ijumaa - Nina blidi

Jumamosi - Nina blidi

Jumapili - naumwa kiuno siwezi hata kugeuka

Jumatatu - kicwa kinaniuma

Jumanne - nimesuka nywele nimevutwa Sana, mwili wote unauma, nimepaka diclopa haijasaidia

Jumatano - Nina stress ya vicoba

Alhamis - Nina stress ya rejesho saccos

Ijumaa - Mama yako kanipigia simu kanigombeza

Jumamosi - Naenda kitchen party ntarudi nimechoka.

Wanaume:-
Jumatatu - Bar na washikaji Hadi alfajiri

Jumanne - Bar na washikaji Hadi alfajiri sikusikilizi huna sera

Jumatano - UEFA Champions League Hadi saa tisa

Alhamis - Europa

Ijumaa - Live band Hadi asubuhi

Jumamosi - Asubuhi supu na washikaji.... Mchana nyama choma na washikaji... Jioni bia na washikaji Hadi majogoo

Jumapili - Bia na washikaji Hadi usiku wa manane

Jumatatu - Kwa demu mpya Hadi saa tisa usiku

Jumanne - SMS ya mchepuko imekutwa kwenye simu yako, umechuniwa na kununiwa miezi miwili. Mkeo anagongwa nje anapata mimba, mwezi wa tatu mnaelewana, mwezi wa nne unagundua mkeo ana mimba kubwa sio yako, mnagombana, unamtimua na ndoa imekufa.
[emoji275][emoji275][emoji275][emoji275]
 
[emoji275][emoji275][emoji275]
IMG_20201116_080013_137.jpg
 
Acha kupotosha bhana.... Kuna ambao hatuchepuki 100%. Usituaminishe upotoshaji utakavyo wewe.
ndio maana nikaanza na......amini mkeo ni wako pekee......hilo ndio kuu......kwa viashiria alivyotoa mleta mada.....ni wa kwakwe....bisha utakavyobisha.....anachepuka....narudia tena ...am sorry...
 
Back
Top Bottom