Sielewi Nini kinaendelea kwa huyu mwanamke wiki hii

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,506
99,296
Wiki 2 zilopita.
Tuligombana, kanuna na kila mtu akabaki kivyake na maisha yake, Sasa tarehe ya rejesho ilivokaribia nikaona Bora nintafute turudiane, kweli jumatano tumerudiana.

Siku ya Ijumaa tumekutana na jumamosi namshkuru Mungu mambo yameenda Safi na mwanga nikaanza kuuona. Ikabd nifanye mpango Jumapili pia tukakutane, ili angalau wiki hii nihakikishe naianza kwa kishindo. Kweli tumekutana na baada ya hapo nmerudi kwangu.

Ila cha kushangaza Kulipokucha jumatatu, siku iliniendea vibaya sana tofauti na miaka yote, nikaona sio kesi, labda ni kwa sababu siku nyng zilipita hatujakutana sababu ya mgogoro, Nikajipa moyo mambo yatakaa sawa tu.

Jumanne pia
Nikajitahidi tumekutana, ila jumatano nayo ikaamka imeenda vibaya sana, mauzo hayaeleweki kabisa. Nikabaki na maswali kibao kichwani ila nikajipa moyo Tena, Huenda sijapata mda wa kutosha wa kukaa nae.

Sasa Jana usiku
Ikabidi nisingizie msiba, nmeenda kwake na nmekesha nae kabisa mpaka alfajiri, Leo nmeamkia kwake nmeunganisha moja kwa moja hadi dukani kwangu.

Ila sahivi mpaka saa 8 hii mchana nnapoandika Uzi huu bado sielewi nini kinaendelea kuhusu huyu mwanamke, yaani bora hata siku 2 hizi zilizopita nilizokua nalaumu.

Kinachoniwazisha zaidi, ni kwamba tarehe ya rejesho nayo iko karibu Sana, Ni jumanne ya wiki ijayo ya tar 7.

Yaani Hapa hadi kichwa kinauma,
Maana nina siku 2 TU (kesho na jumatatu) za kupambania rejesho na bado makusanyo yangu hayafikishi 50% ya rejesho lote nnalodaiwa bank mwezi huu.
 
Hii iliwahi kumkuta marehemu mjomba angu pole sana mwisho wako umekaribia
 
Back
Top Bottom