Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

da yaani huwa sikuhizi nikukumbuka wewe na erythrocyte nacheeeka kwa dharaaaaauuuu maana mlivyokuwa na uhakika wa kuingia ikulu yaani mnaimani kali sana nyie watu mnatamani kwenda mbinguni lakini hamtaki kufa mnategemea kwenda kwa motokjaa eee????
Wewe iboyamwaka2020 gonna kill me ujueeee
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
ndo maana waisalm wamepewa nafasi ya kuoa wake wasiozidi 3.mwenyei mungu aliona haya yote kwa wanawake sio wenye kumudu mikiki ya mwanume.ndo maana tukaambiwa kwa mwanaume mwenye uwezo na atakae weza kuwafanya uadalifu wake zake bas aoe wasio zidi 3.
 
Kiukweli mara nyingi hii kuchoka, sijui kuumwa kichwa hua mnasingizia tu lakini ni kwamba hua tu hamsikii ham ya kufanya. Kwani sisi ni watoto wadogo? Ina maana mi siwezi kukuangalia tu nikajua kweli huyu mwenzangu leo amechoka? Utashangaa mtu huyu huyu ambae kila siku analala saa moja kwa kisingizio cha kuchoka, siku ukimletea series mpya anayoipenda atakaa hapo sebleni mpaka saa nane usiku anaangalia!!
pole jomonii
 
Nilidhan napitia haya peke angu kumbe tupo wengi, wife anafanya kazi sehemu moja n kazi yake sio ya mihangaiko kabisa ila neno nimechoka, usiniguse nataka kulala limekua wimbo ndani, kisirani mda mwingi makasirikio, Yaani dah kazini pa moto nyumban pa moto yaaan inafikia mda sijui maamuzi gani nichukue.
Tafuta mchepuko utakuja kunishukuru baadae. Ila usiupe mimba tu wewe kuwa unapiga tu.

Kuna wanawake wengi very decent wanahitaji sapoti.

Moja ya dalili kuwa unaweza kuwa kichaa Ni kumuamini na kuwa na mwanamke mmoja. It's very bitter kusema hivi ila ndio ukweli.

Tafuta mchepuko
 
...... ndo maana tukaambiwa kwa mwanaume mwenye uwezo na atakae weza kuwafanya uadalifu wake zake bas aoe wasio zidi 3.

Hahahaaa I AM NO ONE dini ilieleza vizuri kabisa kwa kutoa vigezo makini kama ulivyoeleza hapo juu kwenye bold... ila shida ni pale wasiokidhi vigezo wanapotaka kuwa na zaidi ya wa3😁😁😁😁
 
ndo maana waisalm wamepewa nafasi ya kuoa wake wasiozidi 3.mwenyei mungu aliona haya yote kwa wanawake sio wenye kumudu mikiki ya mwanume.ndo maana tukaambiwa kwa mwanaume mwenye uwezo na atakae weza kuwafanya uadalifu wake zake bas aoe wasio zidi 3.
Kwakweli nawaonea wivu sana ndugu zetu nyie.
 
pole jomonii

Nimesha poa.

Kinachochekesha ni siku ukute mwanamke anataka, halafu wewe mwanaume ndio siku hiyo umechoka. Weeeee siku hiyo utasumbuliwa nakuambia hautalala usiku utasukwasukwa kama nini sijui, utaamshwa hata kama umelala. Ukikaza ndio kununiwa na malalamiko yasiyoisha oooh siku hizi hunijali, lazima una mchepuko, kuna mahali umetoka.... yaani wanawake nyie jamani!! 🤣🤣🤣
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
amini ni wako pekee yako uwe na amani........ila nakwambia mkeo anachepuka......but sorry....
 
baada ya muda nae ataanza kukuambia amechoka, kichwa kinauma, kiuno kimekaza, tumbo nk ilimradi tu akulaze na njaa.
Wakati mwingine hawafanyi makusudi, bali kunakuwa na mojawapo ya sabb hizi:
1). Vichocheo (hormones) vinapoteza mpangilio muafaka kutokana na sabb mbalimbali (hormonal imbalance)..
2). Kufika umri wa "ukame" (menopause), ambapo uwezo wa kuzaa unapungua. Na hii siku hizi inatokea mapema zaidi sabb ya vyakula vya kisasa.

Mojawapo ya hayo ikitokea, uwezo na hamu ya ku-do kwa mwanamke vinapungua au kutoweka kabsaa. Mara utaskia liquid hakuna kabisa kwa papuchi hata uandae vipi, mara kuna maumivu, nk
 
Nimesha poa.

Kinachochekesha ni siku ukute mwanamke anataka, halafu wewe mwanaume ndio siku hiyo umechoka. Weeeee siku hiyo utasumbuliwa nakuambia hautalala usiku utasukwasukwa kama nini sijui, utaamshwa hata kama umelala. Ukikaza ndio kununiwa na malalamiko yasiyoisha oooh siku hizi hunijali, lazima una mchepuko, kuna mahali umetoka.... yaani wanawake nyie jamani!! 🤣🤣🤣

1Korintho 7: 4-5
 
Back
Top Bottom