Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
hahahahhaa nimecheka maana hata mimi jana nimefanya hivyo,.sina mchepuko lakini kuna muda jamani unachoka hata hamu ya ku do huna inabidi ulale tuu saa moja jioni kukwepa hekaheka.
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.

"Najua hana mchepuko"
[emoji115] kosa lako lipo hapo, kwanza jua
1.usiusemee moyo wa mtu.
2.Binadamu hatutabiriki.
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Ni dalili za kuwa na mchepuko 100%....lakini jifariji tu mkuu
 
Jumapili mlikumbuka kutubu kanisani maana dhambi ya wizi ni amri ya saba katika amri kumi za Mungu.
Daah! yaani huwa sikuhizi nikukumbuka wewe na erythrocyte nacheka kwa dharau, maana mlivyokuwa na uhakika wa kuingia ikulu yaani mnaimani kali sana nyie watu mnatamani kwenda mbinguni lakini hamtaki kufa mnategemea kwenda kwa motokaa eee?
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Nilidhani napitia haya peke angu kumbe tupo wengi, wife anafanya kazi sehemu moja na kazi yake sio ya mihangaiko kabisa ila neno nimechoka, usiniguse nataka kulala limekua wimbo ndani, kisirani mda mwingi makasirikio, Yaani dah! kazini pa moto nyumbani pa moto yaani inafikia muda sijui maamuzi gani nichukue.
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Umeoa mfanya kazi mzee anachoka pia mvumilie si mnasaidiana life?

Mii natafuta asie na kazi kusaidiwa majukumu ndani sitaki
 
ni dalili za kuwa na mchepuko 100%....lakini jifariji tu mkuu
Hii kujifariji kwamba hana mchepuko ndio imesaidia ndoa yangu imeendelea kuwa yenye furaha, amani na upendo zaidi ya miaka 10 sasa. Kama anae basi atakua anafanya kwa siri sana na ananitunzia heshima, kwangu hiyo inatosha. Sema nini mi mwenyewe pia sijakaa kizembe.
 
Nilidhan napitia haya peke angu kumbe tupo wengi, wife anafanya kazi sehemu moja n kazi yake sio ya mihangaiko kabisa ila neno nimechoka, usiniguse nataka kulala limekua wimbo ndani, kisirani mda mwingi makasirikio, Yaani dah kazini pa moto nyumban pa moto yaaan inafikia mda sijui maamuzi gani nichukue.
Uwanaume upo wapi sasa hapo?

Mtu anakumbia usiniguse ni wanini sasa huyo au hana kwao?
 
Wanawake:-
Jumatatu- kichwa kinauma
Jumanne- nilikuwa bize nimechoka Sana
Jumatano- Nina blidi
Alhamis- Nina blidi
Ijumaa- Nina blidi
Jumamosi- Nina blidi
Jumapili- naumwa kiuno siwezi hata kugeuka
Jumatatu- kicwa kinaniuma
Jumanne- nimesuka nywele nimevutwa Sana, mwili wote unauma, nimepaka diclopa haijasaidia
Jumatano- Nina stress ya vicoba
Alhamis- Nina stress ya rejesho saccos
Ijumaa- mama yako kanipigia simu kanigombeza
Jumamoso- naenda kitchen party ntarudi nimechoka.

Wanaume:-
Jumatatu- Bar na washikaji Hadi alfajiri
Jumanne- Bar na washikaji Hadi alfajiri sikusikilizi huna sera
Jumatano- UEFA Champions League Hadi saa tisa
Alhamis- Europa
Ijumaa- Live band Hadi asubuhi
Jumamosi- asubuhi supu na washikaji.... Mchana nyama choma na washikaji... Jioni bia na washikaji Hadi majogoo
Jumapili- bia na washikaji Hadi usiku wa manane
Jumatatu- kwa demu mpya Hadi saa tisa usiku
Jumanne- sms ya mchepuko imekutwa kwenye simu yako, umechuniwa na kununiwa miezi miwili mkeo anagongwa nje anapata mimba, mwezi wa tatu mnaelewana, mwezi wa nne unagundua mkeo ana mimba kubwa sio yako, mnagombana, unamtimua na ndoa imekufa
Mkuu inamaanisha hao jinsi walivyobize hivyo , hawana kazi za kufanya , sasa wanapataje pesa, hasa mwanaume ?
 
hahahahhaa nimecheka maana hata mm jana nimefanya hivyo,.sina mchepuko lakini kuna muda jamani unachoka hata hamu ya ku do huna inabidi ulale tuu saa moja jioni kukwepa hekaheka,..

Kiukweli mara nyingi hii kuchoka, sijui kuumwa kichwa hua mnasingizia tu lakini ni kwamba hua tu hamsikii ham ya kufanya. Kwani sisi ni watoto wadogo? Ina maana mi siwezi kukuangalia tu nikajua kweli huyu mwenzangu leo amechoka? Utashangaa mtu huyu huyu ambae kila siku analala saa moja kwa kisingizio cha kuchoka, siku ukimletea series mpya anayoipenda atakaa hapo sebleni mpaka saa nane usiku anaangalia!!
 
mama wa chadema hujambo? vipi lissu ana sera gani uliingia barabarani?mwenzenu huyoooooo kula bata ughaibuni mngeachwa vilema borra hamkuingia road
Screenshot_20201112-100724.png
 
Umeoa mfanya kazi mzee anachoka pia mvumilie si mnasaidiana life?

Mii natafuta asie na kazi kusaidiwa majukumu ndani sitaki

Mi pia ni mfanyakazi mkuu na tena kazi yangu ni ngumu kuliko yake, lakini kila siku nikirudi mnara unasoma 5g. We oa asie na kazi lakini amini usiamini baada ya muda nae ataanza kukuambia amechoka, kichwa kinauma, kiuno kimekaza, tumbo nk ilimradi tu akulaze na njaa.
 
Wanawake:-
Jumatatu- kichwa kinauma
Jumanne- nilikuwa bize nimechoka Sana
Jumatano- Nina blidi
Alhamis- Nina blidi
Ijumaa- Nina blidi
Jumamosi- Nina blidi
Jumapili- naumwa kiuno siwezi hata kugeuka
Jumatatu- kicwa kinaniuma
Jumanne- nimesuka nywele nimevutwa Sana, mwili wote unauma, nimepaka diclopa haijasaidia
Jumatano- Nina stress ya vicoba
Alhamis- Nina stress ya rejesho saccos
Ijumaa- mama yako kanipigia simu kanigombeza
Jumamoso- naenda kitchen party ntarudi nimechoka.

Wanaume:-
Jumatatu- Bar na washikaji Hadi alfajiri
Jumanne- Bar na washikaji Hadi alfajiri sikusikilizi huna sera
Jumatano- UEFA Champions League Hadi saa tisa
Alhamis- Europa
Ijumaa- Live band Hadi asubuhi
Jumamosi- asubuhi supu na washikaji.... Mchana nyama choma na washikaji... Jioni bia na washikaji Hadi majogoo
Jumapili- bia na washikaji Hadi usiku wa manane
Jumatatu- kwa demu mpya Hadi saa tisa usiku
Jumanne- sms ya mchepuko imekutwa kwenye simu yako, umechuniwa na kununiwa miezi miwili mkeo anagongwa nje anapata mimba, mwezi wa tatu mnaelewana, mwezi wa nne unagundua mkeo ana mimba kubwa sio yako, mnagombana, unamtimua na ndoa imekufa
kweli kupanga ndo kuchagua
 
Back
Top Bottom