Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,656
- 23,134
Ila nakushauri hii avatar yako ungeibadilisha, sio nzuri kwa maadili ya kiislam. Ila kma wewe ni Muslim
🙏Nawatakia waislam wote maandalizi mema ya mwezi mtukufu wa ramadhani
Kumbe na wewe Hance ni Muislamu?
Uongo.Nawatakia mfungo mwema wa Ramadhan wana Jf ..
Leo baadhi ya waislamu watakuwa katika mfungo na wengine nikewemo na mimi tunasubiria ule wakutangazwa na mamlaka hapa nchini(wa wengi) .Kuhusu swala huyu anafuata na yule wa wapi lisisababishe malumbano cha msingi muhimu hoja zote zimethibiti basi kila mtu afuate nafsi yake inapohisi sawa .
Mimi binafsi nilikuwa mfuasi wa mwezi popote ka miaka mingi ila nihama baada mwaka mmoja team popote tuligawanyika mara mbili kwani siku ya kufunga tulifuata Saudi bahati mbaya au nzuri siku ya kutazamia mwezi kama Iddi itakuwa Kesho yake Saudi hawakutangaza halafu wkt huo huo baadhi ya nchi mwezi ulionekana asubuhi yake wengi wakabaki njia ya panda wengine leo Iddi wengine wanadai sio ,wengine wakafungua na wapo wakiendelea na swaumu
Kutokana na hilo nikagundua Saudi km Saudi mamlaka ni moja hata kama ukionekana Tz wasipotangaza wao hawawezi kutufuata Sisi. Vile vile nikajifunza rai hii imeta idi 3 kuswaliwa kw mara ya kwanza (Saudi,Team Popote,Bakwata)
Nikafikia hitimisho kwa vile hakuna makosa kufuata pande Moja wapo haina ya Rai mbili za wanazuoni kwangu mimi ni bora kufuata yenye kuleta umoja na wengi ili sikukuu furaha ipatikane kwa pamoja majirani ,ndugu ,marafiki nk tule tufurahi kwa pamoja itakuwa poa zaidi kuliko kuwa nyumba nzima au mtaa watu wachache mno
Nb: Allah ni mjuzi zaidi ,mafikirio yangu yanaweza kuwa sahihi au sio sahihi .Nawapenda ndugu zangu hapa Jf kwa ajili ya Allah
#AllahAtuongoeSote
Ukiachana na Iddi iliyopita ya nyuma yake ,radio Iman usiku hawakutangaza kitu Iddi walitangazwa asubuhi tena kwa kuchelewa tofauti na miaka ya nyuma inavyokuwa wale wa kambi popote wengine wakaamua kuendelea na swaumu baadhi wakafungua nikiwemo na Mimi kesho yake wale ambao wanaofuata Saudi Iddi yao ikawa sambamba na waliongojea Bakwata kukakawa na makundi matatu .Uongo.
Mwaka gani huo...?
AminaAllah atujaalie uzima
Wanaofunga kwa popote utakapo onekana hua hawafuati Saudia Arabia kama inavyoaminika na wengiUkiachana na Iddi iliyopita ya nyuma yake ,radio Iman usiku hawakutangaza kitu Iddi walitangazwa asubuhi tena kwa kuchelewa tofauti na miaka ya nyuma inavyokuwa wale wa kambi popote wengine wakaamua kuendelea na swaumu baadhi wakafungua nikiwemo na Mimi kesho yake wale ambao wanaofuata Saudi Iddi yao ikawa sambamba na waliongojea Bakwata kukakawa na makundi matatu .
Ahsante sana Brother.Nawatakia mfungo mwema wa Ramadhan wana Jf ..
Leo baadhi ya waislamu watakuwa katika mfungo na wengine nikewemo na mimi tunasubiria ule wakutangazwa na mamlaka hapa nchini(wa wengi) .Kuhusu swala huyu anafuata na yule wa wapi lisisababishe malumbano cha msingi muhimu hoja zote zimethibiti basi kila mtu afuate nafsi yake inapohisi sawa .
Mimi binafsi nilikuwa mfuasi wa mwezi popote ka miaka mingi ila nihama baada mwaka mmoja team popote tuligawanyika mara mbili kwani siku ya kufunga tulifuata Saudi bahati mbaya au nzuri siku ya kutazamia mwezi kama Iddi itakuwa Kesho yake Saudi hawakutangaza halafu wkt huo huo baadhi ya nchi mwezi ulionekana asubuhi yake wengi wakabaki njia ya panda wengine leo Iddi wengine wanadai sio ,wengine wakafungua na wapo wakiendelea na swaumu
Kutokana na hilo nikagundua Saudi km Saudi mamlaka ni moja hata kama ukionekana Tz wasipotangaza wao hawawezi kutufuata Sisi. Vile vile nikajifunza rai hii imeta idi 3 kuswaliwa kw mara ya kwanza (Saudi,Team Popote,Bakwata)
Nikafikia hitimisho kwa vile hakuna makosa kufuata pande Moja wapo haina ya Rai mbili za wanazuoni kwangu mimi ni bora kufuata yenye kuleta umoja na wengi ili sikukuu furaha ipatikane kwa pamoja majirani ,ndugu ,marafiki nk tule tufurahi kwa pamoja itakuwa poa zaidi kuliko kuwa nyumba nzima au mtaa watu wachache mno
Nb: Allah ni mjuzi zaidi ,mafikirio yangu yanaweza kuwa sahihi au sio sahihi .Nawapenda ndugu zangu hapa Jf kwa ajili ya Allah
#AllahAtuongoeSote
Aamin na wewe pia ,kweli kabisa zipo zaidi ya hizo ila maarufu zaidi kwa watu ni mbili na mgawanyiko huwa baina ya pande mbili so nikageneralise kihivyo.Ahsante sana Brother.
Kuna Rai zaidi ya mbili katika suala la Ikhlaf juu ya Muandamo wa Mwezi wa Ramadhan. Haziko mbili peke yake.
Niishie hapa.
Allah akulipe kheri.
Cc Kisai