Status
Not open for further replies.
Hakika nimelia. Machozi yamenitoka. Nahisi bado moyo unalia. Sikutegemea siku hii itaisha hivi. Apumzike kwa amani JPM. Hakika taifa litakukumbuka. Ulikua na vision uliyoisimamia kwa msimamo thabit. Ni ngumu kuamini!
Sayan
Duh!

Habari za kifo cha Magufuli zimetawala Al Jazeera jioni hii. Zaidi ya dakika 10 wanamzungumzia Magufuli na Tanzania!
Na wanasema alikuwa mbishi kwelikweli kwenye Corona. Tuendelee kuchukua tahadhari corona haina msalia mtume wajameni
 
Akuna kitu kilikua kinanivunja moyo kama kumuongezea muda wa kutawala kwa miaka 7-7 tena.
Nilikata passport ya kusafilia kwenda nje ya TANZANIA.kuanza maisha ukouko. Ila sasa nitakua naenda na kurudi TANZANIA naipenda sana
Hii kwa hakika ilitia uoga watu wengi, sio wewe peke yako.

Tulikubali hiyo mitano yake aliyojinyakulia kwa nguvu kwa shingo upande, lakini zile kelele za kuongeza muda, kitu ambacho kwa kweli kilikuwa ni dhahiri angebaki, hilo liliumiza sana mioyo.
 
Mkuki mtamu kwa nguruwe,kwa Binadamu mchungu.

Wapinzani waliishi Kama watumwa,
Kwa kila Aina ya mateso,vijamaa vilona sawa tu.leo mtumwa anakua huru vinasema wachawi.
Kwani kipi kinakwepeka hapa au unahisi kufa kwake kutakupa utajiri we kama utafuti utaendelea kuwa mtumwa hamna kitu kitabadilika kwenye maisha yako mpaka kufa
 
Miradi yote isiyo na maana iliyoanzishwa kwa power yake yote itakufa...Kama ilishirikisha bunge na mamlaka zote itaendelea lakini kama alitumia nguvu yake basi itakufa kifo cha mende.
Lakini katiba inamruhusu Rais kufanya jambo lolote hata bila ridhaa, ruksa au ushauri wa yeyote
 
🙇
Screenshot_20210318-022048.png
 
Kwanini afya ya mtumishi wetu ifichwe na ifanywe Siri? No hili wanaohusika wametukosea watuombe radhi afya ya Rais wa nchi inafanywa Siri? Kwanini tusingeambiwa tukamuombea pengine angepona maana Jambo lolote mola hulibadili kwa maombi

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Wote wamepita hamna aliyeweza kukuondoa kwenye fikra za utumwa jitafakari kama sio mpambanaji hili nalo litapita utumwa unaendelea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom