CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,984
- 4,083
Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa
Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote.
Nikwamara ya kwanza Rais wa JMT anafika mwenyewe Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Pamoja na mambo mengine Mhe Rais pia atahudhuria kilele cha mikutano ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi, Usalama wa chakula duniani pamoja utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo endelevu ( SDGs)
Bilashaka atashangaza ,atastaajabisha wengi,
NINI MATARAJIO YAKO?