Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

Mar 19, 2021
59
125
MARAIS WA AFRICA NA SAFARI ZA NJE

Rais uhuru kenyatta wa kenya aliingia kwenye madaraka mwaka 2013/2014 akiwa rais wa awamu ya nne wa kenya

Akiwa rais kwa awamu ya kwanza ya urais alisafiri nje mara ya kenya mara 56

Miezi hii ya uhuru kenyatta amesafiri mara kumi na tatu
Mpaka sasa huyu rais wa kenya amesafiri zaidi ya mara mia moja 100 kwenda nje ya nchi ya kenya

Raisi uhuru kenyatta amemuzidi
Rais daniel arap moyo kusafiri nje ya nchi ambaye yeye alitawala miaka 24 huku yeye huu mwaka wake wa 8 -9

Mwaja 2019 rais KAGAME amesafiri kwenda nje ya nchi mara 59 na kumzidi waziri mkuu wa uingereza borrison johson ambaye amesafiri kwa huo mwak mara 3 tu safari za kagame za nje ya nchi zina zidi zile za rais obama katika maiak yake yote ya utawala akiwa alitawala miaka 8
Akasafiri kwenda nje mara 55 hapo 2019 kagame amesafiri nje ya nchi mara nyingi kuliko obama kwa mwaka 2019

Mwaka 2018 kagame alisafiri mara 34

Mwaka huu waziri mkuu wa uingereza borrison johnson amesafiri mara moja tu kwenda nje ya nchi

Raisi wa marekani Joe badden amesafiri kwenda nje ya nchi mara tatu toka awe rais wa marekani

Rais wa tanzania kwa mujibu wa katiba ya tanzania aliingia madaraki mwezi wa 3 tangia aingie madarakani amefanya safari za mara tisa 9 huku ana miezi sita tu ya utwala

Nadhani umejifunza kitu hapo nchi nyingi za africa hazina watu wa kuziongoza ila zina watembezi

Mfano ziara za uhuru kenyatta zina jenga shule za msingi zaidi kumi nane zile za kageme hatari sasa kwa kiwango cha kawaida darasa moja milion 20 safari ya rais moja ina zaidi ya million 4 za kenya
 
Mwaka 2019 rais KAGAME amesafiri kwenda nje ya nchi mara 59 na kumzidi waziri mkuu wa uingereza borrison johson ambaye amesafiri kwa huo mwak mara 3 tu safari za kagame za nje ya nchi zina zidi zile za rais obama katika maiak yake yote ya utawala akiwa alitawala miaka 8
Akasafiri kwenda nje mara 55 hapo 2019 kagame amesafiri nje ya nchi mara nyingi kuliko obama kwa mwaka 2019

Mwaka 2018 kagame alisafiri mara 34

Mwaka huu waziri mkuu wa uingereza borrison johnson amesafiri mara moja tu kwenda nje ya nchi

Raisi wa marekani Joe badden amesafiri kwenda nje ya nchi mara tatu toka awe rais wa marekani

Rais wa tanzania kwa mujibu wa katiba ya tanzania aliingia madaraki mwezi wa 3 tangia aingie madarakani amefanya safari za mara tisa 9 huku ana miezi sita tu ya utwala

Nadhani umejifunza kitu hapo nchi nyingi za africa hazina watu wa kuziongoza ila zina watembezi

Mfano ziara za uhuru kenyatta zina jenga shule za msingi zaidi kumi nane zile za kageme hatari sasa kwa kiwango cha kawaida darasa moja milion 20 safari ya rais moja ina zaidi ya million 4 za kenya

Nadha
 
CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
1,485
2,000
Duuh, Nihatari sana

____________________________________
MARAIS WA AFRICA NA SAFARI ZA NJE

Rais uhuru kenyatta wa kenya aliingia kwenye madaraka mwaka 2013/2014 akiwa rais wa awamu ya nne wa kenya

Akiwa rais kwa awamu ya kwanza ya urais alisafiri nje mara ya kenya mara 56

Miezi hii ya uhuru kenyatta amesafiri mara kumi na tatu
Mpaka sasa huyu rais wa kenya amesafiri zaidi ya mara mia moja 100 kwenda nje ya nchi ya kenya

Raisi uhuru kenyatta amemuzidi
Rais daniel arap moyo kusafiri nje ya nchi ambaye yeye alitawala miaka 24 huku yeye huu mwaka wake wa 8 -9

Mwaja 2019 rais KAGAME amesafiri kwenda nje ya nchi mara 59 na kumzidi waziri mkuu wa uingereza borrison johson ambaye amesafiri kwa huo mwak mara 3 tu safari za kagame za nje ya nchi zina zidi zile za rais obama katika maiak yake yote ya utawala akiwa alitawala miaka 8
Akasafiri kwenda nje mara 55 hapo 2019 kagame amesafiri nje ya nchi mara nyingi kuliko obama kwa mwaka 2019

Mwaka 2018 kagame alisafiri mara 34

Mwaka huu waziri mkuu wa uingereza borrison johnson amesafiri mara moja tu kwenda nje ya nchi

Raisi wa marekani Joe badden amesafiri kwenda nje ya nchi mara tatu toka awe rais wa marekani

Rais wa tanzania kwa mujibu wa katiba ya tanzania aliingia madaraki mwezi wa 3 tangia aingie madarakani amefanya safari za mara tisa 9 huku ana miezi sita tu ya utwala

Nadhani umejifunza kitu hapo nchi nyingi za africa hazina watu wa kuziongoza ila zina watembezi

Mfano ziara za uhuru kenyatta zina jenga shule za msingi zaidi kumi nane zile za kageme hatari sasa kwa kiwango cha kawaida darasa moja milion 20 safari ya rais moja ina zaidi ya million 4 za kenya
 
CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
1,485
2,000
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

IMG-20210918-WA0036.jpg
 
CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
1,485
2,000
Mwanamke wa kwanza kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa la 76 tangu tupate uhuru ni Mama Samia Suluhu Hassan,

We Proud on you Mama
_________________________

IMG-20210918-WA0036.jpg
 
CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
1,485
2,000
MARAIS WA AFRICA NA SAFARI ZA NJE

Rais uhuru kenyatta wa kenya aliingia kwenye madaraka mwaka 2013/2014 akiwa rais wa awamu ya nne wa kenya

Akiwa rais kwa awamu ya kwanza ya urais alisafiri nje mara ya kenya mara 56

Miezi hii ya uhuru kenyatta amesafiri mara kumi na tatu
Mpaka sasa huyu rais wa kenya amesafiri zaidi ya mara mia moja 100 kwenda nje ya nchi ya kenya

Raisi uhuru kenyatta amemuzidi
Rais daniel arap moyo kusafiri nje ya nchi ambaye yeye alitawala miaka 24 huku yeye huu mwaka wake wa 8 -9

Mwaja 2019 rais KAGAME amesafiri kwenda nje ya nchi mara 59 na kumzidi waziri mkuu wa uingereza borrison johson ambaye amesafiri kwa huo mwak mara 3 tu safari za kagame za nje ya nchi zina zidi zile za rais obama katika maiak yake yote ya utawala akiwa alitawala miaka 8
Akasafiri kwenda nje mara 55 hapo 2019 kagame amesafiri nje ya nchi mara nyingi kuliko obama kwa mwaka 2019

Mwaka 2018 kagame alisafiri mara 34

Mwaka huu waziri mkuu wa uingereza borrison johnson amesafiri mara moja tu kwenda nje ya nchi

Raisi wa marekani Joe badden amesafiri kwenda nje ya nchi mara tatu toka awe rais wa marekani

Rais wa tanzania kwa mujibu wa katiba ya tanzania aliingia madaraki mwezi wa 3 tangia aingie madarakani amefanya safari za mara tisa 9 huku ana miezi sita tu ya utwala

Nadhani umejifunza kitu hapo nchi nyingi za africa hazina watu wa kuziongoza ila zina watembezi

Mfano ziara za uhuru kenyatta zina jenga shule za msingi zaidi kumi nane zile za kageme hatari sasa kwa kiwango cha kawaida darasa moja milion 20 safari ya rais moja ina zaidi ya million 4 za kenya
Daaah
 
VUGU-VUGU

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
355
1,000
Umeongea kweli tu,

naunga mkono 100%

Mama ni raisi mwenye malengo ya kweli ya kutuletea maendeleo na uchumi imara, ila kuna wachumia tumbo na waroho wa madaraka wakataka kumuharibia mama mipango yake ili akwame, na hatimae baadae waje waseme kuwa raisi alishindwa kutuletea maendeleo, na kutatua changamoto zetu. Wanasiasa njaa hawa wakaja na mikakati ya ajabu ajabu kama vile kudai katiba mpya, huku wakificha za kwao zinazowapa uwezo wa kuwatawala mazombi yao, nyumbu wao na wasomi uchwara wa vyama vyao kwa muda usiojulikana. Pia lengo lingine ilikuwa ni kumtoa raisi katika mambo muhimu anayopanga kuyafanya kwa faida ya nchi yetu, kama vile kutumia hela za tozo na kodi za watanzania kujenga shule kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa elimu kwa watoto wetu, hospital kwa ajili ya kuturahisishia huduma za afya kwetu na kwa watoto wetu, barabara na maendeleo mengine mbali mbali. Wanasiasa hawa uchwara na waliofilisika ki mawazo na hoja walihitaji raisi aache mambo hayo ya msingi na badala yake hela hizo zielekezwe kwenye vikao vya katiba, na hatimae ziwafaidishe wao na familia zao huku wananchi ambao hawajitambui wakiendelea kurubuniwa na wanasiasa hao wachovu.

View attachment 1942650
 
Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
5,222
2,000
Watanzania hawampendi huyu mama.
Huyu mama anapendwa kinafiki na wana CCM wachache tu ambao ni wachumia tumbo.
Magufuli alikuwa hapendwi na Watanzania ila huyu mama katia fora
 
Mtoto wa Samia

JF-Expert Member
May 27, 2020
295
250
[|Kazi anazofanya Rais Samia zinaacha alama kwa kikazi hiki na kizazi kijacho,

Hongera sana Mama Samia wetu, ]|
 
Katashekadm

JF-Expert Member
Feb 14, 2018
625
1,000
Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa

Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote,

Nikwamara ya kwanza Rais wa JMT anafika mwenyewe Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa,

Pamoja na mambo mengine Mhe Rais pia atahudhuria kilele cha mikutano ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi, Usalama wa chakula duniani pamoja utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo endelevu ( SDGs)

Bilashaka atashangaza ,atastaajabisha wengi,

NINI MATARAJIO YAKO ?!

View attachment 1942495
Utopolo huo
Kwani huyu si ndiyo mwanamke wa kwanza kuongoza Tanzania!

Accident president of Tanzania!
Soon ataanza kujifunza kwa rais wa Zambia anayejua thamani ya pesa
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,079
2,000
Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa

Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote,

Nikwamara ya kwanza Rais wa JMT anafika mwenyewe Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa,

Pamoja na mambo mengine Mhe Rais pia atahudhuria kilele cha mikutano ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi, Usalama wa chakula duniani pamoja utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo endelevu ( SDGs)

Bilashaka atashangaza ,atastaajabisha wengi,

NINI MATARAJIO YAKO ?!

View attachment 1942495
Tena kutoka pemba, its a pleasure kwa kweli
 
ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
848
1,000
Mungu ambariki Sana mama yetu. Hakika Tanzania itapaa Sana kidiplomasia kwa juhudi hizi za Mh. RAISI Samia Suluhu Hassan
 
MERCYCITY

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
930
1,000
Angalau tunaye rais wa kutuwakilisha. Mwanamke pekee Afrika ambaye ni rais na kwa jinsi hiyo ataifanya Tanzania ijulikane.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom