Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa

Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote.

Nikwamara ya kwanza Rais wa JMT anafika mwenyewe Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Pamoja na mambo mengine Mhe Rais pia atahudhuria kilele cha mikutano ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi, Usalama wa chakula duniani pamoja utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo endelevu ( SDGs)

Bilashaka atashangaza ,atastaajabisha wengi,

NINI MATARAJIO YAKO?



View attachment 1942495

View attachment 1949871

View attachment 1949891

Mama wa kimataifa,
 
Back
Top Bottom