Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

stephen4440

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
1,257
2,000
Wakati huo huo... ziara ya kwenda Kazuramimba kuangalia hali ya miundombinu ya barabara au hapo Mwamanimba kuona jinsi wakulima wa wanavyodhulumiwa mazao yao na bodi ya pamba imeshindikana! Mawaziri kazi yao kupiga porojo tu wanajua boss wao hawezi kufika site! Baraza la usalama UN litainua uchumi wa nchi na kuongeza ajira kwa vijana? Yaani kuna mambo yanatia hasira sana!
images%20-%202021-09-17T233845.455.jpg
images%20-%202021-09-17T233834.537.jpg
 
Sep 13, 2021
40
125
Wakati huo huo... ziara ya kwenda Kazuramimba kuangalia hali ya miundombinu ya barabara au hapo Mwamanimba kuona jinsi wakulima wa wanavyodhulumiwa mazao yao na bodi ya pamba imeshindikana! Mawaziri kazi yao kupiga porojo tu wanajua boss wao hawezi kufika site! Baraza la usalama UN litainua uchumi wa nchi na kuongeza ajira kwa vijana? Yaani kuna mambo yanatia hasira sana! View attachment 1942645 View attachment 1942647
Hii ni dhambi , na watailipia
 

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
1,589
2,000
Mama ni raisi mwenye malengo ya kweli ya kutuletea maendeleo na uchumi imara, ila kuna wachumia tumbo na waroho wa madaraka wakataka kumuharibia mama mipango yake ili akwame, na hatimae baadae waje waseme kuwa raisi alishindwa kutuletea maendeleo, na kutatua changamoto zetu. Wanasiasa njaa hawa wakaja na mikakati ya ajabu ajabu kama vile kudai katiba mpya...
Magaidi
 

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
12,396
2,000
Wakati huo huo... ziara ya kwenda Kazuramimba kuangalia hali ya miundombinu ya barabara au hapo Mwamanimba kuona jinsi wakulima wa wanavyodhulumiwa mazao yao na bodi ya pamba imeshindikana! Mawaziri kazi yao kupiga porojo tu wanajua boss wao hawezi kufika site! Baraza la usalama UN litainua uchumi wa nchi na kuongeza ajira kwa vijana? Yaani kuna mambo yanatia hasira sana! View attachment 1942645 View attachment 1942647
NILIJUA CHADOMO LAZIMA WATAFANYA SABOTAGE ONA SASA MIPICHA YA BURUNDI WANATUWEKEA HAPA VERY HOPELESS POLITICAL GANGS
 

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
10,231
2,000
Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa

Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote...
Marais wote ambao nchi zao ni wanachama wa UN wanayohaki ya kuhutubia mikutano ya baraza kuu UN.

Wanaccm humpongeza Rais wa Tanzania eti kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa SADC!
 

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
10,231
2,000
Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa

Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote...
Kumbe Nyerere na mbwembwe zote hakuwahi kuhutubia baraza hilo la UN!
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,605
2,000
10 September 2021

US FOREIGN AFFAIRS

Tanzanian Judiciary and President: Unacceptable Intermingled Institutions​


Samia Suluhu’s rise as the President of Tanzania has intensified the violent policies of her predecessor John Magufuli, who was regarded as one of the worst dictators of modern times...

September 16, 2021​

Tanzania: UN Working Group on Arbitrary Detention Petition in the Case of Freeman Mbowe​

BACKGROUND​

On September 15, 2021, Mr. Oliver Windridge, an international lawyer recruited by the American Bar Association, Center for Human Rights, under its Justice Defenders Program, filed a communication to the United Nations Working Group on Arbitrary Detention on behalf of imprisoned Tanzanian opposition leader Freeman Mbowe.

Mr. Mbowe is the leader of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Party of Democracy and Progress), also known as Chadema. He was arrested in the early morning hours of July 21, 2021, ahead of a planned party meeting on constitutional reform in Tanzania.

As detailed in the petition, Mr. Mbowe was arrested without a warrant, driven for 18 hours, over 1000 kilometers, from Mwanza to Dar es Salaam, and held in incommunicado detention for five (5) days. During this time, he was denied access to a lawyer and to his family and not informed of the charges he was facing.

On July 26, he appeared before the Kisutu Magistrate Court where he was charged with conspiracy and the provision of funds to commit terrorist acts under Tanzania’s Economic and Organized Crime Control Act and its Prevention of Terrorism Act, respectively. Because he is facing terrorism-related charges, Mr. Mbowe was automatically denied the right to apply for bail pending trial under Section 148(5) of Tanzania’s Criminal Procedure Act. He remains detained as he awaits his trial.

Following Mr. Mbowe’s arrest, several human rights organizations and governments expressed concern that his arrest was a continuation of an ongoing crackdown on opposing voices in Tanzania. Mr. Mbowe’s recent arrest is not the first time that the authorities have detained and prosecuted him in relation to his activities as an opposition leader and vocal critic of the government.

Mr. Mbowe has in the past also been the victim of physical attacks, which his party alleges were politically motivated.
The communication argues that Mr. Mbowe’s pre-trial detention is arbitrary under international human rights law for the following reasons: (i) the manner of his arrest and incommunicado detention for five days was a violation of recognized due process rights; (ii) the automatic denial of bail without due regard for the individual circumstances of Mr. Mbowe’s case under Section 148(5), is a violation of the presumption of innocence; and (iii) the timing of the arrest of Mr. Mbowe, the manner of his arrest and Tanzania’s record of repression, strongly points to Mr. Mbowe’s case being politically motivated in violation of Tanzania’s regional and international human rights obligations.

READ THE FULL UNWGAD PETITION


Source: Tanzania: UN Working Group on Arbitrary Detention Petition in the Case of Freeman Mbowe
 

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,738
2,000
Mama We Wish you all the best,

Katafute misaada ulete tujenge SGR
Yani upewe msaada ujenge SGR? Mzungu sio fala kiasi hicho na ndiyo maana mwananchi ndo atajenga nchi yake mwenyewe! Unafikiri USA atakupa hela uje umlipe Mturuki? Karogwa au?
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,605
2,000
Tanzania kwa sasa mahakama iko Huru sana,

Tutarajie haki pande zote,

Nahaki sio lazima chadema washinde,

WAKILI KIBATALA KAMNONG'ONEZA SIRI MWAKILISHI WA KIMATAIFA. MAHAKAMANI LEO KESI YA MBOWE TAREHE 17.09.2021

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom