Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

Kenya mmekomaa kisiasa. Sisi pia inabidi tuingie mtaani ndo viongozi watapata akili. Ila siku itafika tu ambayo wananchi wengi watasema sasa yatosha kuvumilia. Wenyewe wataingia mtaani.
Anza wewe na familia yako kuingia mitaani. Au Waite BBC na media yoyote ya Kenya watatangaza everything you vomit, they will never ask for evidence. Talk, talk, talk.
 
Tumenyooshwa, jee tunajifundisha nini na matokeo haya?

Jamaa wametumia kanuni ya kushambulia kisiasa: " piga adui yako kisiasa kwenye chaguzi mpaka achakae kabisa na asiweze kurudusha mashambulizi kabisa, na ikitokea amejikusanya na kuweza kujibu mashambulizi, basi yawe hafifu mno kiasi ambacho huwezi kuumia. Lakini mpinzani wako umuachie makovu ambayo kuyarekebisha lazima yamuuwe".

Hiyo ni kweli kama ushindani huo ungefanyika kisiasa na sio kutumia vyombo vya dola. Ni sawa na Tyson ajisifie kuwa ni bonge la bondia kwa kumn'gata Evander Hollyfield! Na unathubutu kabisa kujisifia mbele ya wanaume kuwa umeshinda, halafu huwa unajiita msomi! Huwa sishangai Wazungu wakituita manyani, maana hakuna tofauti kati ya msomi na ambaye hajasoma.
 
Kuna ukawaida gani, au unalazimisha ionekane ni kawaida? Tumekuwa tukisema tatizo la siasa za nchi yetu ni Magu, na watu wanakaa kimya kulinda uhai wao. Leo hii mpaka Kenya wanatuchora, tena wanatuchora ndani ya vyombo vyao rasmi vya kimamlaka.
Unapendeza tufanye nini katika hii hali mpya kisiasa? Michango ya mawazo ni lazima katika hali kama hii kisiasa.
 
Kuna ukawaida gani, au unalazimisha ionekane ni kawaida? Tumekuwa tukisema tatizo la siasa za nchi yetu ni Magu, na watu wanakaa kimya kulinda uhai wao. Leo hii mpaka Kenya wanatuchora, tena wanatuchora ndani ya vyombo vyao rasmi vya kimamlaka.
Si Kenya
Yaani Kenyatta aliposikia matokeo ya Tanzania nadhani alikuwa anacheka mpaka anachanganyikiwa, haamini kuwa bado kuna nchi zinaweza kuendesha chaguzi zao ili kukidhi utashi wa kiongozi aliyeko madarakani. Amejiridhisha pasi na shaka kuwa bado watanzania wengi ni maiti, ila hao wachache waliokimbia mortuary atawapokea.
This is our image world wide

 
Dongo hilo kwa Tanzania; Uganda, Burundi na Rwanda.

Ni kweli hizi ni siasa za kilongi sana! Siasa za ki analogia, siasa za kishamba!!
 
Namalizia Pepsi yangu nianze kufikiria kwenda Kenya.
Wenzio wa Kawe tupo hapa kwenye foleni Ubungo Maji kwenye kanisa la ufufuo na uzima kuchukua nauli na masurufu ya safari yetu ya Birmingham dadeki!!
 
"Many neighboring countries today need a handshake. They need politics in which competition is not turned into enmity and war. They need political leaders focused on including the young and desperate, not inciting them to revolt against their countries and their elders.

We have learned as Kenyans that elections alone cannot bring peace and unity to a divided people. For that, leaders must reach out to each other and build bridges over turbulent waters to allow the people to cross into safety and prosperity."-Uhuru Kenyatta
 
Uhuru ni mchochezi 😂😂😂 anatuchelewesha. Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂
 
Kumbe ndio maana hakuja kwenye lile igizo la kumuapisha akawaachia wasanii wengine kina Museveni.

Jamaa ana uelewa wa juu sana hasa linapokuja suala la mahusiano kati ya wanasiasa, amepevuka sana kidiplomasia, kagonga pale pale hajataka unafiki.

Haya yanayotokea hapa kwetu atakuwa anayaona mambo ya kishamba sana, kutofutiana itikadi ndio unamuona mwenzio adui, mpaka anakimbia nchi aliyozaliwa upo kimya husemi chochote?!
Aliona aibu kuhalalisha dhuluma.
 
Kenya mmekomaa kisiasa. Sisi pia inabidi tuingie mtaani ndo viongozi watapata akili. Ila siku itafika tu ambayo wananchi wengi watasema sasa yatosha kuvumilia. Wenyewe wataingia mtaani.
Kwa jinsi Watanzania tulivyo, labda wajukuu wako ndiyo watachoka na kuingia barabarani.

Nilikuwa nafikiri Wazanzibar wanacourage kumbe nao ni bure kabisa sawa na sisi wa bara. Yaani uhuni uliofanyika safari hii katika dunia hii ni Watanzania tu ndiyo tunaweza kuvumilia na kuendelea na maisha yetu kama vile hakuna kilichotokea.
 
Maisha yanaenda kasi hawa Wakenya walikuwa wanatuangalia sisi kama kiigizo chao kipindi cha nyuma sasa hivi tunajifunza kwao. Shame on us!
 
Ni nchi gani jirani na Kenya iliwahi kuwa na machafuko ya kisiasa watu 1500 wakauawa?

Ni Kenya pekee ambapo zaidi ya watu 1500 waliuawa kisa siasa.
 
you are very Uhuru, ni hatari nchi kuongozwa na mtu aliyekulia kwenye mazingira ya ufukara na uchawi
Wahi Kenya unangojea nini sasa? Watu mliokosa uzalendo ni tatizo kubwa sana kwa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom