Tunayopendekeza yafanyike Tanzania hayafanyiki alafu Nchi jirani Wanafanya kweli!

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Nilichogundua mambo mazuri ya maana kwa mustakabali wa maendeleo ya kweli ya nchi yetu yanayopendekezwa yafanyike nchini kwenye hili jukwaa Viongozi wetu hawayachukui zaidi a kuchukua mambo ya kisiasa kwa faida zao za kisiasa.

Iliwahi pendekezwa humu suluhisho la tatizo la umeme. Viongozi wetu wapo kimya hapo jirani Kenya kafanya kweli.

Nina uhakika kuna kipindi cha ukame miaka ijayo Kenya atatuuzia umeme alafu watu watakuja kuhoji hapa ni nani aliyeturoga?

- Bila kufanya haya, tusahau suala la kuondokana na Mgao wa Umeme

20240111_105936.jpg
Nuclear experts drawn from the United States, India and the International Atomic Energy Agency (IAEA) on Tuesday, January 9, reported that they were satisfied with Kenya's preparedness to develop a new Research Reactor Programme.

The Integrated Nuclear Infrastructure Review for Research Reactors (INIR-RR) was made following a nine-day review mission in Kenya.

The team of experts had jetted into the country to assess the preparations made by President William Ruto’s administration towards establishing a research reactor programme to solve the energy crisis in the country.

Ruto’s government received the nod following the successful review that was undertaken between December 11 and 19, 2023.

In its report, the IAEA explained that the assessment was conducted at the invitation of President Ruto’s government.

“Kenya has demonstrated a sustained and very professional approach to the development of its research reactor programme,” the review read in part.

“We noted that before making the final decision, Kenya did a great job of developing and preparing laws and regulatory documents.”

The INIR-RR further commended Ruto’s government for involving all stakeholders while developing the human resources of both the future operator and the regulator.

Kenya aims to have its first nuclear reactor project in the Uyombo area, Kilifi County.

The project which is set to be operational in 2027 will be constructed at a cost of Ksh560 billion.

The government justifying the decision to launch the ambitious project noted it was a long-term plan to bring down fuel costs.
 
Tukisema mnapenda sana siasa mnajibu kuwa siasa ndio kila kitu huwezi kuikwepa siasa.
 
Asante mods kwa kuweka inputs
 
Suluhisho rahisi kabisa la kupata nishati ya umeme wa kutosha kwa taifa letu tena kwa gharama ndogo (trilioni 3 tu, nusu ya gharama ya kujenga bwawa la Nyerere) ni kujenga mitambo ya umeme wa jua. Halafu jua tunalo mwaka mzima hapa nchini.

Kuna njia nyingine ambayo ndiyo the cheapest kuliko hata umeme wa jua. Ni kujenga plant ya kutengeneza umeme kwa kutumia upepo na utafiti ulishafanyika kwamba plant hiyo IJENGWE maeneo ya Singida kwa gharama ya sh trilioni 2.2.

Lkn kwa kuwa ndani ya ccm kumejaa wapigaji hawataki kusikia habari hizi. Wanataka waendelee kuagiza mafuta na majenereta. Nchi imerogwa hii.
 
Suluhisho rahisi kabisa la kupata nishati ya umeme ya kutosha kwa taifa letu tena kwa gharama ndogo (trilioni 3 tu, nusu ya gharama ya kujenga bwawa la Nyerere) ni kujenga mitambo ya umeme wa jua. Halafu jua tunalo mwaka mzima hapa nchini.

Kuna njia nyingine ambayo ndiyo the cheapest kuliko hata umeme wa jua. Ni kujenga plant ya kutengeneza umeme kwa kutumia upepo na utafiti ulishafanyika kwamba plant hiyo IJENGWE maeneo ya Singida kwa gharama ya sh trilioni 2.2.

Lkn kwa kuwa ndani ya ccm kumejaa wapigaji hawataki kusikia habari hizi. Wanataka waendelee kuagiza mafuta na majenereta. Nchi imerogwa hii.
Tuna tatizo la kuwa na watu wasiostahili kwenye nafasi za juu za uongozi kutokana na kukosa uwezo wa kuhudumu katikq nafasi izo. Pili tuna tatizo la kubwa la watu kuwaza maslahi binafsi kuliko maslahi mapana ya Taifa
 
Nina uhakika kuna kipindi cha ukame miaka ijayo Kenya atatuuzia umeme alafu watu watakuja kuhoji hapa ni nani aliyeturoga?
Mkuu Lord denning

Ni rahisi sana kumuosha MAITI, ila shughuli ngumu ni kumfanya atembee.

Hii nchi ilishajifia miaka mingi iliyopita, kilichopo sasa ni watu wanamalizia kugawana vitu vya marehemu.

Ushauri wako ni mzuri, ila utekelezaji wake ni ZERO/impossible, so ni bora upambane na ishu zako za kujitafutia mkate wa kila siku ili walau nawewe upate chochote katika vitu vya Marehemu.
 
Shida kubwa ya taifa hili ni kuangalia wazo kaleta nani sio kulenga shabaha kwenye wazo huo ndo upumbavu wa watawala wa taifa hili.

Kila wazo nzuri mtu anaangalia ulaji wa 10% asipo uona basi hilo wazo ni mbaya.
Sahihi kabisa

Watu wanaangalia hapa nawezaje kula? Mengine mtajua wenyewe

Naskia mradi wa Bonde la Mto Msimbazi wanataka kuwapa Arab Contractors ambao walipiga hela ya Bwawa la Nyerere na waka subcontract kwa wachina kwa hiyo ule mradi tumepigwa parefu sana na sasa tunaenda kupigwa carefully bonde la msimbazi badala ya kuwstafuta waholanzi watujengee mradi vizuri maana wao ndo wenye utaalam wa uhakika kwenye miradi ya namna ile
 
Mkuu Lord denning

Ni rahisi sana kumuosha MAITI, ila shughuli ngumu ni kumfanya atembee.

Hii nchi ilishajifia miaka mingi iliyopita, kilichopo sasa ni watu wanamalizia kugawana vitu vya marehemu.

Ushauri wako ni mzuri, ila utekelezaji wake ni ZERO/impossible, so ni bora upambane na ishu zako za kujitafutia mkate wa kila siku ili walau nawewe upate chochote katika vitu vya Marehemu.
Mkuu wangu
Wenye mapenzi ya kweli na hii nchi tunaumia sana kuona mambo ya hovyo yakiendelea kutendeka wakati nchi hii ina watu wenye akili wanaoweza kufanya mambo sahihi kwa maslahi ya nchi na wananchi ila ndo hawapati nafasi. Kibaya zaidi kama hawapati hiyo nafasi basi hata mawazo yao yachukuliwe kwa maslahi ya Taifa ila wapi.

Watu wanawaza kujineemesha tu
 
unachekesha kweli wewe, hydro power inakushinda halafu unaongelea nuclear power? nyie endeleeni kucheza unyago tu hiyo ndiyo destiny yenu …
 
Inachekesha ila inasikitisha sana. Sijui wale Tume ya Atomic walioko Arusha kule walianzishwa kwa sababu gani kama tunashindwa kuwatumia kwenye mambo ya maana namna hii
 
Back
Top Bottom