Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,278
- 13,853
you are very Uhuru, ni hatari nchi kuongozwa na mtu aliyekulia kwenye mazingira ya ufukara na uchawi
Maoni ya jirani yako una haki ya kuzingatia au kuyapuuza. Chaguo ni lako.Afwazali
~hebu ulizieni na 'posho serikali yake itakuwa inatoa.?'
~na wanaoruhusiwa kukimbilia huko ni viongozi kama akina Lema au hata na raia wa kawaida.!?
*halafu baadae hatawatimua kama alivyomtimua yule Miguna wa Miguna.!?
Kenya mmekomaa kisiasa. Sisi pia inabidi tuingie mtaani ndo viongozi watapata akili. Ila siku itafika tu ambayo wananchi wengi watasema sasa yatosha kuvumilia. Wenyewe wataingia mtaani.
'Kwani ni lazima uishi kwa kuvuta bangi?' Hahahah imeisha hio mzee babaHalafu ndio unasema cdm ipeleke wabunge wa viti maalum bungeni! Unaamini watu wakiingia mtaani ndio watapata haki yao, lakini jana umeanzisha uzi kuwa wabunge wa viti maalum waende bungeni ili wapate pa kusemea! Kwani ni lazima uishi kwa kuvuta bangi?
Yaliyokea kwenye uchaguzi uliopita 2020, ni matokeo ya kawaida tuu kisiasa. Kila tukio kisiasa ni somo katika elimu pana katika siasa. Na makubwa yanakuja.Hiyo Ni fursa ya kwenda kenya kwa wazee wa kujilipua
Hamia KenyaSiasa zetu zemekua za kishamba sana, kura zilizoandaliwa kwaajili ya watu fulani zinapenyezwa kwenye sanduku la kura na tukihoji tunapewa kibano na vyombo vya dola.
Yaliyokea kwenye uchaguzi uliopita 2020, ni matokeo ya kawaida tuu kisiasa. Kila tukio kisiasa ni somo katika elimu pana katika siasa. Na makubwa yanakuja.
Yaani hata ww yale maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura unayaonea aibu. Inabidi uhamishe channel tu, kwani ni aibu hata kutetea utoto wa wazi vile.Kweli Kabisa kule UGANDA ya M 7 hakuna UTULIVU WA KISIASA kabisaaaa....
Tumenyooshwa, jee tunajifundisha nini na matokeo haya?Yaani Kenyatta aliposikia matokeo ya Tanzania nadhani alikuwa anacheka mpaka anachanganyikiwa, haamini kuwa bado kuna nchi zinaweza kuendesha chaguzi zao ili kukidhi utashi wa kiongozi aliyeko madarakani. Amejiridhisha pasi na shaka kuwa bado watanzania wengi ni maiti, ila hao wachache waliokimbia mortuary atawapokea.
Tatizo kuingia mtaani kwa sasa tumeshashindwa bado tunavumilia.Hivyo for the time being wabunge waende tu bungeni. Hii ya kuingia mtaani itakuja yenyewe pale Magufuli atakuwa katika mwaka wake wa 14 akitawala. Hata wana CCM wenyewe wengi watakuwa wamemchoka. Hapo ndo saa ya ukombozi wa kweli itatimia.Halafu ndio unasema cdm ipeleke wabunge wa viti maalum bungeni! Unaamini watu wakiingia mtaani ndio watapata haki yao, lakini jana umeanzisha uzi kuwa wabunge wa viti maalum waende bungeni ili wapate pa kusemea! Kwani ni lazima uishi kwa kuvuta bangi?