Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

Kesho ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Rais credible hawezi kupoteza muda kuadhimisha kifo cha DIKTETA ambaye alikuwa adui wa demokrasia, utawala wa sheria na muuaji. Hizo sherehe fanyeni wenyewe chini ya uangalizi wa Bashiru Ally
 
Kesho ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Acheni mambo yenu. Mama piga kazi Wala usiwasikilize hawa wajinga na wabagizi.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kakwepeshwa na mshika rimoti. Si unajua ye king'amuzi tu. Hana alijualo zumbukuku ulimwengu upo huku.
 
Kesho ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?

Yaani angebaki hata Magu alipo angemshangaa! Yaani ubaki kulia lia inasaidia nini nchi
 
Back
Top Bottom