Hayati John Komba kujengewa Makumbusho yake, Kumbukizi la kitaifa Kufanyika hivi karibuni Rais Samia anategemewa kuwa Mgeni rasmi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,136
Mke wa hayati captain John Komba amesema wanaandaa Kumbukizi kubwa la kumuenzi kitaifa zaidi

Mama Salome Komba amesema Watu mashuhuri mbalimbali wataalikwa na mgeni wa heshima wanamtegemea Rais Samia

Kila Mwaka familia imekuwa ikifanya Kumbukizi Lakini this time litakuwa la aina yake na michango itakayopatikana itagharamia matibabu ya Watoto wenye Matatizo ya moyo
 
Hili nalo litachangia sana kukuza uchumi wa nchi
 
Mke wa hayati captain John Komba amesema wanaandaa Kumbukizi kubwa la kumuenzi kitaifa zaidi

Mama Salome Komba amesema Watu mashuhuri mbalimbali wataalikwa na mgeni wa heshima wanamtegemea Rais Samia

Kila Mwaka familia imekuwa ikifanya Kumbukizi Lakini this time litakuwa la aina yake na michango itakayopatikana itagharamia matibabu ya Watoto wenye Matatizo ya moyo
Marehemu Moses Nnauye naye apewe maua yake!
 
Back
Top Bottom