Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,835
- 9,856
Labda amekufa mkuu.Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Ingependeza zaidi.Labda amekufa mkuu.
Kifo ni kifo tuIngependeza zaidi.
Hiyo misiba miwili ni mizito kwake ukizingatia pia reactions za watanganyika.Labda ameenda likizo ndefu na familia. Baada ya msiba wa Mzee wetu. RIEP Mzee
Weka video😀😂😂😂 juzi tuu ametoka kupokea mabalozi hawa watu vipi? Nafasi ya Urais wanafananisha na nafasi ya shangazi zao katika Familia?
Hiyo misiba miwili ni mizito kwake ukizingatia pia reactions za watanganyika.
Lakini kifo cha pili, kama kuna mkono wa mtu, lazima limuathiri sana kwasababu maslahi yake makubwa yameguswa na anaweza kuhisi yupo kwenye mashambulizi.
Na kama kuna taarifa za ki intelijensia kuhusiana na usalama wake, kumfanya asiweze kwenda popote anapotaka kwa uhuru, lazima limuathiri tena zaidi.
Hiyo likizo ikiwa ya muda gani ndo itamsaidia na huku bado hawaoni ukubwa wa tatizo?
😂😂😂 juzi tuu ametoka kupokea mabalozi hawa watu vipi? Nafasi ya Urais wanafananisha na nafasi ya shangazi zao katika Familia?
Yupo Ndejembi wa Kipemba anakaimu/atakaimu, wanasema rais si mtu bali ni taasisi hivyo hata kama speculations ziko sahihi usiwe na hofu kwani huyo dogo wa Kipemba Ndejembi ataendeleza kulisukuma kuanzia pale bibi yake bi Kizimkazi alipoishia.Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Comrade vile vipicha picha!!?sio vya kuaminika hata nchimbi walimfotoa akienda kumpa pole!😂😂😂 juzi tuu ametoka kupokea mabalozi hawa watu vipi? Nafasi ya Urais wanafananisha na nafasi ya shangazi zao katika Familia?
Pascal Mayalla usikute ni TISSAndiko la Pascal Mayalla aliandika jana saa 9 usiku Voice within: Tumuombee Rais Samia afya njema
Huu msiba wa pili umemuathiri sana kwani bonge kapotea na mumala mzito sana in terms of Tees.Hiyo misiba miwili ni mizito kwake ukizingatia pia reactions za watanganyika.
Lakini kifo cha pili, kama kuna mkono wa mtu, lazima limuathiri sana kwasababu maslahi yake makubwa yameguswa na anaweza kuhisi yupo kwenye mashambulizi.
Na kama kuna taarifa za
ki intelijensia kuhusiana na usalama wake, kumfanya asiweze kwenda popote anapotaka kwa uhuru, lazima limuathiri tena zaidi.
Hiyo likizo ikiwa ya muda gani ndo itamsaidia na huku bado hawaoni ukubwa wa tatizo?
No body care nowadaysLeo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Mbona majibu yako ya jazba yanafanana sana na majibu ya Majaliwa alipoulizwa kuhusu alipo Magufuli kukiwa na tetesi za kifo chake?Makazi Ya Rais ni Ikulu hawezi kukaa guest kama mama yako mzazi. So Rais yuko Ikulu Dar
Kwani ameshamaliza Edda?Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.