technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,703
- 58,780
Ikulu ya zamani Dar es SalaamLeo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
πππ juzi tuu ametoka kupokea mabalozi hawa watu vipi? Nafasi ya Urais wanafananisha na nafasi ya shangazi zao katika Familia?Mshaanza wanga π
Yuko Ikulu kazini, ofcourse!Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Yuko eda zote 2Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Ni jambo jema sana kwamba unamtambua kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ingawaje wakati mwingine ukiingiwa ujinga unafikiri tofauti.Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Umejibu kishabiki sana kwa swali rahisi!πππ juzi tuu ametoka kupokea mabalozi hawa watu vipi? Nafasi ya Urais wanafananisha na nafasi ya shangazi zao katika Familia?
Kabla ya hapo je Nchimbi yupo wapi?Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Makazi Ya Rais ni Ikulu hawezi kukaa guest kama mama yako mzazi. So Rais yuko Ikulu DarUmejibu kishabiki sana kwa swali rahisi!
Kwanini usijibu kwa usahihi mahali alipo kama mtoa mada alivyouliza?
Na kama nawe hujui, kwanini usijinyamazie zako?
Yuko eda.Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea.
Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote.
Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
Tatizo Israili amekuwa kama Doumbia wa Simba angekuwa kama Mpanzu mbona kitambo tu Watanganyika tungekuwa tunademka?Sisi wengine tupo kusubiria matokeo tu. Hatuna kingine.