BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,119
Orodha ya safari za kimataifa za urais zilizofanywa na Samia tangu ashike madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 19.03.2021
Rais Samia kafanya jumla ya safari 54 za kimataifa kama Rais wa Tanzania katika nchi tofauti za Afrika, Ulaya, Asia na Amerika ya kaskazini.
Rais @SuluhuSamia kasafiri mara 35 katika nchi za Afrika, safari 7 katika nchi za Ulaya, safari 9 katika nchi za Asia, safari 3 nchi za Amerika kaskazini.
Rais Samia katika orodha ya ziara zake 54 za kimataifa nchi ambayo amekwenda mara nyingi ni Uganda (4), Mozambique (3), USA (3), UK (2), UAE (2)
NB; Netherlands (Uholanzi), MFALME hufanya safari (state visit) zisizozidi mbili kwa mwaka. Pia hupokea ugeni wa aina hiyo mara mbili tu kwa mwaka.
Brigedia Mtikila, MMM.