Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,525
- 70,368
Sio mimi rafikiri nilimwachia dogo simu.hivi una nini lakini

Lakini katiba haimpi nafasi ya kugombea. Labda aibadili.
Wewe ndio unaomba asuse, hasusi ng'o. Bora uanze kujiandaa kisaikolojia kwasababu mama atachukua mitano tena!Jiwe na ukatili wake na ubabe wake Ila jasho lilimtoka 2020.
Huyu bibi Hangaya Hadi kufika hiyo 2025 atakuwa kishasusa
Sio kunategemea polisi wataamkaje?Kushinda kwake kunategemea upinzani wataweka mgombea gani
Kama akiamua kuprint fomu moja hata chama kisipopenda anaamua kujiweka mwenyewe tu.Katiba ipi na kifungu kipi?!!..Yeye alikua Makumu wa Raisi/amekuja kuwa Raisi Kwa Mujibu wa Katiba!!..2025 anagombea rasmi!!.. anaweza kuongoza for 14 Years kama akipenda na chama kikiona inapendeza!!
Awamu hii CCM watawagana fito.Kama akiamua kuprint fomu moja hata chama kisipopenda anaamua kujiweka mwenyewe tu.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Sidhani nasikia kipindi cha uchaguzi huwa wanakuwa kitu kimoja.Awamu hii CCM watawagana fito.
Yaani makada mapumbavu yakubali kupelekeshwa na bibi wa Zanzibar, thubutu.
Muda utasema tu.
Mnakosea kushabikia hii kitu. Na inaonesha mnafurahia kifo cha DKT JPM. Sawa, subirini 2025 kauli zenu zinawagharimu.Mungu asaidie mama apite inshaalah. Wacopenda wavimbe adi wapasuke.
Muwe makini na kusherehekea kwenu. Kumbukeni mwaka haujaisha.Kumuombea mama kwa Mungu apite 2025 ndio kushabikia na kufurahia kifo cha mwamba magufuli!!!!
Sinaga upumbafu wa kufurahia kifo cha mtu mzehe.
Mhhh. Lissu hakuwa na ubavu wa kumshinda JPM. Hata akigombea 2025 atapigwa tu. Huyo hakuna kitu.Yaani we unaongea kama hauko tanzania. Wapinzani mbona wanashindaga lakini anayetangazwa ni mwingine. Jpm tu kabla hata watu hawajapiga kura alikuwa tayari ana kura nyingi ametengenezewa na tume na hilo lisu alilizungumzia. Ushindi wa ccm hautegemeani na kura za wananchi.
Acha uongo.Wanaomdanganya Mama kuwa anapendwa muogopeni Mungu. Mama ajiandae kisaikolojia jasa kanda ya ziwa
HahahaJiwe na ukatili wake na ubabe wake Ila jasho lilimtoka 2020.
Huyu bibi Hangaya Hadi kufika hiyo 2025 atakuwa kishasusa
Mizani ya kumuweka hapo 2025 iwe na uwiano sawa a!!!K A T I B A M P Y A
Kwa,nini mikitano yake ilikuwa inavamiwa na polisi na wakati mwingine mawasiliano yanakatwa baada ya kuona nyomi ya watu. Amefanyiwa kila figisu lakini bado watu wanajaa bila hatamatangazo tofauti na jpm ambapo vyombo vyote vilitangaza popote alipo. Hata ushindi wake unafikiri ilikuwa rahisi kuutangaza!!Mhhh. Lissu hakuwa na ubavu wa kumshinda JPM. Hata akigombea 2025 atapigwa tu. Huyo hakuna kitu.
Jibibi mbona kwa sasa siyo kipenziMuulize Kikwete ungwe ya pili jasho lilimtoka,kumbuka na yeye alikuwa kipenzi haswa sio kama hili jibibi
Hata Magu mwenyewe aliliona mapema kwamba hatobowi asingefanya alie fanya asinge kua Raisi tena, wa tzania anataka mabadiliko ya kisiasa ole wake huyu Mtemi hangayi akijisahau kufanya yake hata tomboa, haijalishi ni Lissu au Mbowe, wataznia walishaelimika kwa sasaMhhh. Lissu hakuwa na ubavu wa kumshinda JPM. Hata akigombea 2025 atapigwa tu. Huyo hakuna kitu.
Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke.
"Kufika hapa, kama isingekuwa kudra ya Mungu ingekuwa ngumu sana, sasa ndugu zangu Rais mwanamke tutamuweka 2025. Mwaka 2025 tukifanya vitu vyetu vizuri, tukishikamana, tukimuweka Rais wetu, tutakutana hapa kwa furaha kubwa sana
Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vigazeti kwamba Samia hatasimama, nani kawaambia? Wanawake oyee. Fadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.
Wanawake wamefanya kazi kubwa kuleta uhuru wa nchi hii, Wanawake tumefanya kazi kubwa kujenga siasa za nchi hii, tumebeba sana wanaume katika siasa za nchi hii, leo Mungu ametupa baraka mikononi, tukiiachia Mungu atatulaani.
Alisema Rais Samia Suluhu
Mengineyo, Rais Samia amesema ataendeleza mema yote katika awamu zote na watajitahidi kuongeza mema mengine.
Kuhusu usawa wa jinsia amesema hawajafika lakini wanawake wataendelea kuongezeka kwani asipofanya yeye hakuna ambae atafanya.

Miezi michache ilopita wakati akiapisha mawaziri alisema wasiwaze kuhusu uchaguzi ujao wachape kazi but yeye amekuwa wa kwanza kuuwaza,tena kwa kishindo.Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke.