Waziri Mchengerwa: Uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa hakuna Kijiji kitakwenda Upinzani pia Uchaguzi mkuu wa 2025 kura zote kwa Rais Samia Suluhu

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,985
4,084
IMG-20230901-WA0003.jpg
===
Mbunge wa Rufiji ambaye pia ni Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika jimbo lake hakitapotea kijiji hata kimoja kwenda Upinzani katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa hapo mwakani 2024.

Vilevile Mhe Mohammed Mchengerwa amemuahidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo katika uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 kwani kura zote za Rufiji zitakwenda kwake.

IMG-20230920-WA0004.jpg

Rufiji imeamua, Tanzania imeamua,

#Mama hakamatiki,
#Tukutane OCt 2024/5.
 
View attachment 2755867

Rufiji imeamua, Tanzania imeamua, mama hakamatiki,

#Tukutane OCt 2025.
Hiyo ndo kazi ya Waziri.

Maendeleo sahauni

CCM Hoyeeee
 
Yaani badala ya kushughulikia matatizo ya wananchi ,busy na ushindi wa 2025 duuu Tanzania tuna safari ndefu walahi na aliyetuloga kafa.Mimi hata kura sipigi kwani nipige nisipige nilishakubaliana na hali halisi ya kujipambania tu mimi na maisha yangu hayo mengine wabaki nayo majukwaani aisee.
 
Kupata viongozi wazuri sio hitaji la Wananchi?
 
Yaani badala ya kushughulikia matatizo ya wananchi ,busy na ushindi wa 2025 duuu Tanzania tuna safari ndefu walahi na aliyetuloga kafa.Mimi hata kura sipigi kwani nipige nisipige nilishakubaliana na hali halisi ya kujipambania tu mimi na maisha yangu hayo mengine wabaki nayo majukwaani aisee.
Tuna mawaziri wajinga sn
 
View attachment 2755867
===
Mbunge wa Rufiji ambaye pia ni Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika jimbo lake hakitapotea kijiji hata kimoja kwenda Upinzani katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa hapo mwakani 2024.

Vilevile Mhe Mohammed Mchengerwa amemuahidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo katika uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 kwani kura zote za Rufiji zitakwenda kwake.

View attachment 2755876
Rufiji imeamua, Tanzania imeamua,

#Mama hakamatiki,
#Tukutane OCt 2024/5.
Tunajua kuwa mbinu itakuwa hii kama kawaida. Ila kwa vile CCM haitaki uchaguzi huru na haki basi likitokea lolote wao ndiyo watabeba lawama kwani hawataki mabadiliko kwa njia ya haki,amani na ustaarabu.
IMG-20200726-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom