Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,879
- 40,514
Huo ubongo Una uhakika anao?Tanzania ina maendeleo? Huyu Bibi sijui ubongo wake ukoje tu š¤£.
Huo ubongo Una uhakika anao?Tanzania ina maendeleo? Huyu Bibi sijui ubongo wake ukoje tu š¤£.
Seriously?Ameshakamatwa
Well too bad kenya hawezi chukua nchi, labda ubunge or vyeo vingine but sio kiongoz wa nchi. Kuongoza vichwa vya wakenya needs ustahimilivu wa hali ya juu mnoMartha karua anataka kugombea kenya 2027.
Bado niko hapa nawaza, mara paaap!! Martha kachukua nchi, na huyu wa huku nae akashinda.
Kwa kuwa wote ni wanawake, sijui patachimbikaje hapa East Africa
Iwapo tumefika humu ni huzuni kuu
Its like alitembea na boss wake akapanda..shenzi zakeSamia kwa kweli ni kama mmama fulani aliyechomekwa kazi ya u secretay tu na kuwapatia mabosi chai, halafu akajiungaunga na kujipitishapitisha mpaka kaja kutokea kuwa rais bila ya kujua kazi ya urais.
Kwahiyo tz haina maendeleo?Tanzania ina maendeleo? Huyu Bibi sijui ubongo wake ukoje tu š¤£.
Vitisho vya wazi wazi (Vitisho vya mama)Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Hatari sana. Hizi 4K za mama zinapaswa kutangazwa vema kama NORNE
Na kuna watu humu wanamzidi maarifa sitawataja wasije wakawakamata šš¾Samia kwa kweli ni kama mmama fulani aliyechomekwa kazi ya u secretay tu na kuwapatia mabosi chai, halafu akajiungaunga na kujipitishapitisha mpaka kaja kutokea kuwa rais bila ya kujua kazi ya urais.
ššššHuo ubongo Una uhakika anao?
ššššš¾šš¾šš¾šš¾Its like alitembea na boss wake akapanda..shenzi zake
Kule kuna siasa za kikabila, na sasa hivi wakikuyu wametupwa nje ya serikali ya ruto.Well too bad kenya hawezi chukua nchi, labda ubunge or vyeo vingine but sio kiongoz wa nchi. Kuongoza vichwa vya wakenya needs ustahimilivu wa hali ya juu mno
Fix tupu! waliomuua Ally Kibao walilazimishwa na nani?Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Tunaongozwa na kilazaa kwelkwel, hataki kbs akosolewe anataka kila mtz aimbe mapambio ya kumpongeza tuu hata kwenye hamna!Tanzania ina maendeleo? Huyu Bibi sijui ubongo wake ukoje tu š¤£.
We ukabila unasehem yake but not that much, righy g ndio harudi tena kwa system, yule alikuwa mbuzi wa kafara kwa pres rutoKule kuna siasa za kikabila, na sasa hivi wakikuyu wametupwa nje ya serikali ya ruto.
Riggy G wanaungana Martha kuunda umoja wenye nguvu kuwawakilisha wakikuyu.