Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Hao wengine 'wanaopenda litokee' ni yeye na wenzake ndani ya serikali na ndani ya CCM.Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
No justice, no peace.Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Kuna yule kiongozi wa ACT kuna kitu kasema sasa hivi anatafutwa na vyombo....!Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Lakini si ni yeye na genge lake ndio hawataki marekebisho ya kanuni za uchaguzi yafanyike ili pawepo na uchaguzi HURU na wa HAKI?..wao wanavyoharibu uchaguzi, kuteka, kutesa, na kuua, haoni kama ni kuvuruga amani?
😂😂😂😂Tanzania ina maendeleo? Huyu Bibi sijui ubongo wake ukoje tu 🤣.