Na hayo siku zote ndio yanayo zalisha kina maTraore Afrika nzima. Mfundisheni aelewe, viapo vyao wale ni KUILINDA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Sijawahi sikia wameapa kuwa "naapa kumlinda bwana au bibi fulani" Achunge sana hao makada na machawa hawamtetei yeye bali wanapigania matumbo yao. Hajajifunza kwa ya Ummy Mwalimu swahiba yake mkuu?..wao wanavyoharibu uchaguzi, kuteka, kutesa, na kuua, haoni kama ni kuvuruga amani?
Ameshakamatwa
huku ni kule kuchanganyikiwa kunakosemwa.Mengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Hata uchaguzi ni uchaguzi feki uchaguzi haramu wa kishetani..wao wanavyoharibu uchaguzi, kuteka, kutesa, na kuua, haoni kama ni kuvuruga amani?
🥺🥺🥺🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿Ameshakamatwa
Hiyo ni haki yao, tumeua mtu mmoja tu mnapiga kelele!..wao wanavyoharibu uchaguzi, kuteka, kutesa, na kuua, haoni kama ni kuvuruga amani?
..Nani huyo amekamatwa?
..ACT wamekuwa wakitoa kauli ngumu sana hasa upande wa ZNZ lakini hawasumbuliwi na vyombo vya dola.
Clueless despotMengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Dwarf contemplationClueless despot
Does she honestly think “HAYO MENGINE” hawezi kufanyiwa yeye na mkwewe Mchengerwa na familia yao ya kikora??
Anajiaminisha hivyo “vyombo vya usalama” vipo kwa ajili yao tu.
Kiazi kweli yan🚮🚮🚮🚮
KIla mtu amekazana amani amani. Ukweli kila mtu alitakiwa awe anaimba haki haki.No justice, no peace.