Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,440
- 8,407
Huenda hayo Mengine ni kupigwa hadi kuchakaa, kwa wale wasiotaka kutii maelekezo/amriMengine hayo ni yapi?!! Msikilize Mh kwenye video hii fupi
View attachment 3376796
Kumbuka: sio kila amri/ maelekezo yapo ndani ya sheria
Haki huinua Taifa,
Mungu ibariki Tanzania