Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.

Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa wanaona.

Mimi napendekeza, kuliko kuyamwaga, Tuchukue hayo Mahindi, Mafuta ya Alizeti na Maharage waloleta, tupakie kwenye ile ndege ya mizigoo ya ATCL tuwape msaada Wananchi wa Haiti wanaokufa Njaa.
Hayo mahindi angekuwa katupa mshenzi muarabu mnadhani rais angesema hivyo ...hata kama muarabu angeweka sumu na kuua watz angetetewa na ccm na samia na mashehe mandazi .
 
Marekani hajaanza leo kutoa misaada ya vyakula hapa na Duniani. !

Marekani hana ugomvi na Watanzania !
Na hata kule kwenye ugomvi na mahasimu wake huwa anatoa misaada ya vyakula na madawa !
Hatujawahi kusikia wamewekewa virutubisho vya hatari !
Leo ukienda Pakistan na Afghanistan utakutana na watoto wenye polio wengi sana kutokana na huo uzuzu wa kudhani eti wazungu wakileta misaada ama ya chakula au chanjo wanakuwa wameweka dawa za ugumba au ushoga !!
Nonsense !
nembo ya marekani ni yule tai arukae juu huku amebeba silaha(mikuki/mishale) na chakula (matunda). Kugawa chakula ni jadi yao. Pia hugawa chakula kwa adui zao huku wanawapiga vita, nembo yao ya taifa inatanabaisha hayo. Wana shirika lao liko chini ya wizara ya mambo ya nje linaitwa USAID likishadidiwa na maneno from american peoples
 
Upo sawa. Bashe amesema kama ni hela watupe ila mchele, maharage na mafuta tunayo.

Ila mzigo kama umeshatoka US upige tena U-turn kurudi Caribbean ni noma.

Sasa anataka hela za nini kama anavyo vyote hivyo. Jamaa nae anauwezo mdogo sana. Nchi ambayo tuna tbs, TFDA na mkemia mkuu wa serikali anashindwaje kuthibitisha kisayansi.

Hili linaenda kumtokea puani katika nafasi yake ya uwaziri. Kaeni chonjo. Ule haukuwa mzigo wa magendo kwanza yeye sio waziri wa afya.
 
Limtokee puani kwa rais gani? Labda angekuwa Magu ila sio huyu mama.
 
nembo ya marekani ni yule tai arukae juu huku amebeba silaha(mikuki/mishale) na chakula (matunda). Kugawa chakula ni jadi yao. Pia hugawa chakula kwa adui zao huku wanawapiga vita, nembo yao ya taifa inatanabaisha hayo. Wana shirika lao liko chini ya wizara ya mambo ya nje linaitwa USAID likishadidiwa na maneno from american peoples
Hata huko Gaza silaha zao zinatumiwa na Upande mmoja lakini pia wanawapelekea Chakula upande wa pili !
 
Mna Labaratories na Mkemia mkuu alafu nchi nzima ina reject eti mahindi yana virutubisho ambavyo havijulikani?
Alafu siamini kama mahindi yameletwa hapa nchini BILA KUOMBWA NA JE LOGISTICS ZOTE mpaka kutufikia ilikuwa haijulikani.
NI HASARA SANA KUZALIWA MWEUSI TENA HUKU AFRICA
 
Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania.

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani.

Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa wanaona.

Mimi napendekeza, kuliko kuyamwaga, Tuchukue hayo Mahindi, Mafuta ya Alizeti na Maharage waloleta, tupakie kwenye ile ndege ya mizigoo ya ATCL tuwape msaada Wananchi wa Haiti wanaokufa Njaa.
Waziri amefanya jambo jema sana. Kati ya mataifa ambayo si ya kuyaamini ni marekani. Lakini hata hivyo, ilikuwaje hadi mahindi yakafika hapa?
 
Nashangaa wabongo ghafla tunajiona matajiri sijui kwanini?

Tuna kakiburi ketu flani amazing sana. Aliyeshiba mjini anamsemea mwenye njaa kijijini.
Hiyo ni ishara kuwa viongozi wa CCM na wanaotokana na CCM hawawajui wananchi wake wanaishije huko vijijini.
Hawajui kuwa wananjaa kiasi kuwa wamarekani wanajua hadi wanaleta vyakula.
Hawajui kuwa shule na masoko hakuna vyoo hadi Wamarekani wanakuja kujenga vyoo vikiwa na ubao mkubwa umeandikwa;
" VYOO HIVI VIMEJENGWA KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI".
Yote yanafanyika wao hawajui bali wajuacho ni masherehe tuu ya miaka 3 ya Rais Samia, futari kwa wasanii Ikulu.
Hivi watu wanaoshabikia huu ujinga wanajua futari moja kwa wasanii na machawa kuandaliwa Ikulu gharama yake yaweza kujenga vyoo vya shule za mikoa miwili au mitatu?
Hapo ndio utakumbuka lile swali la Lissu kuwa hizi ni akili au matope?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hivi unga wa ngano unaozalishwa nchini mfano ule wa MeTL ambao umeandikwa kabisa kuongezewa virutubisho.

Hivyo virutubisho wangapi mnavijua? Na je amevitengeneza MeTL mwenyewe au kanunua nje tu kwa haohao.

Bashe tushaijua rangi yake kwenye sukari si ajabu anasukumwa na issue ileile ya dini kupinga hili jambo.

Taasis za kupima ubora si zipo? Toka lini mmeanza kupangia watoa misaada pa kununulia misaada hiyo?
 
Haiti na Liberia ni mataifa yalioanzishwa tokana na watumwa walipewa uhuru wakiwa Marekani,USA inawajua na kuwajali kuliko yoyote.

Back
Top Bottom