mud-oil-chafu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2020
- 588
- 951
Mambo kama haya huonekana no mama kaamua pekee kumbe Kuna cabinet kubwa nyuma take, akifanya poa inaomekana mama kafanya POA ila akizingua somewhere itaonekana jau Zaid,zingatia ishu ya mikopo ilivokuwa...napendekeza tutumie serikali ime na sio mama ameTatizo liko wapi?