Rais Samia kuhudhuria uapisho wa Rais Mteule William Ruto

Ni aibu sana kwa kiongozi wa Nchi INAYOMINYA DEMOKRASIA Kuhudhuria uapisho wa Rais aliyeshinda kwa haki kabisa, tena bila Mabegi ya kura za wizi kama chaguzi za Tanzania zinavyokuwa.
Sasa alieminya demokrasia ni magu au mama samia?
 
UVCCM_ TAIFA
SEPT. 13, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN anatarajia kuhudhuria hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa
Jamhuri ya Kenya Mhe. WILLIAM SAMOEI RUTO.

Aidha, Mhe. Rais SAMIA atahudhuria uapisho huo wa Rais Ruto
utakaofanyika leo jijini Nairobi.

Mhe. Rais SAMIA ataambatana na baadhi ya Viongozi wa Serikali
akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki; Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, Waziri
wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Mhe.Harusi Said
Suleiman Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#VijanaGreenMarathon
#KaziIendelee
IMG-20220913-WA0046.jpg
 
Ni aibu sana kwa kiongozi wa Nchi INAYOMINYA DEMOKRASIA Kuhudhuria uapisho wa Rais aliyeshinda kwa haki kabisa, tena bila Mabegi ya kura za wizi kama chaguzi za Tanzania zinavyokuwa.
Mkuu,kama ni kweli Kenya ni nchi ya Kidemokrasia mbona Odinga amekataa kihudhuria Uapisho wa Rais mpya? JITAKAFALISHE!!!
JamiiForums-1609013940.jpg
 
UVCCM_ TAIFA
SEPT. 13, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN anatarajia kuhudhuria hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa
Jamhuri ya Kenya Mhe. WILLIAM SAMOEI RUTO.

Aidha, Mhe. Rais SAMIA atahudhuria uapisho huo wa Rais Ruto
utakaofanyika leo jijini Nairobi.

Mhe. Rais SAMIA ataambatana na baadhi ya Viongozi wa Serikali
akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki; Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, Waziri
wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Mhe.Harusi Said
Suleiman Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#VijanaGreenMarathon
#KaziIendeleeView attachment 2355189
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Eti alipo mama vijana tupo! Pambaf nyie, yuko Kasarani nyie mpo Lumumba mnaimba mapambio huku mmechoka kwa tozo hadi mnanuka puh!
 
Mhe Samia naomba umwambie Mhe Ruto kwamba wafanyabiashara wa kenya wawe wananunulia mazao kwenye masoko ya kimataifa na sio kwenda vijijini.

Hili ni la kwenu na mipango ya masoko yenu ya mazao, kamwe haliwezi kuwa la Kenya na Mh Rais Ruto. Kama mwawaachia waende kiholela wanapotaka ni juu yenu wenye majukumu.
 
Kenyatta atakuwa na shida si bure maana si kwa hizi chuki za waziwazi.....anasema kiongozi wake ataendelea kuwa baba, sijui ni kwa utaratibu upi!
Hii ndio demokrasia isiyo na unafiki.
Unapaswa kusimamia unachoamini bila kujali unaungwa mkono na nani na sio huku tumezoea kujipendekeza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom