PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Friends and Our Enemies,

Nichukue nafasi hii kumpongeza sana Mh Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk Samia Suluhu Hassan.

Hakika leo amesimama imara kukisema kile ambacho sisi wazalendo wa nchi hii tumekuwa tunamatamani siku zote akitamke na watu waelewe uhalisia.

Rais Samia amesimama imara na kukataa kuifanya ile mila la kanisa katoliki na washirika wake kuwa ndiyo wenye mamlaka pekee na amri ya kuipiangia serikali eti nini kifanye na kipi isifanye na nini kitatokea endapo serikali haitatii.

Nadhani ni wakati sasa TEC umefika na kutambua kuwa nyinyi siyo lolote na siyo chochote kwenye nchi hii,kazi yenu kubwa ni kuchunga kondoo wenu na kuhubiri neno la mungu na siyo kupimana nguvu na serikali na kutaka kujipa mamlaka ambayo siyo yenu.

Amesisitiza na kuwaambia TEC waache uchochezi na kugawa watu na kujipa kazi ambayo siyo yao.

Nchi hii inaongozwa kwa tunu ya amani na upendo na suala la kudai haki linaendana na wajibu katika kudai haki na njia stahiki ya kuendea haki hiyo.

Siyo wanakuja wahuni kuchoma nchi na kuchochea vurugu kisha mnasema kwamba walikuwa wanafanya maandamano.

Na mkisema kuwa nguvu iliyotumika ni kubwa kwahiyo TEC mlitaka itumike nguvu gani mbadala ya kuhakikisha watu waliotaka kupindua nchi wanadhibitiwa.?

Rais samia anasema tokea aingie madarakani TEC wameshakuja na Waraka nane zenye kuipinga serikali tatizo ni nini??chuki kwa kuwanyeye siyo mtu wa imani yao,au hajazaliwa kwenye upande wao au shida nini??

Rais samia piga kazi,tupo nyuma yako na unazo dua zetu.

TEC watambue kuwa zama zao za kuongoza nchi kwa njia ya mfumo kristo zimeshaisha.
 
20251202_134011.jpg

Focus yetu kitaa ipo hapa
 
Mama kachafukwa 🙂 Kumbe hasira zote hizi ni Press ya jana yaFr Kitime? Si ajabu alikuwa ba hotuba nyingine akaiweka kando na kusema asemayo
Yeye ameongea na wazee wa dar es slaam

Kama ujumbe umewafikia mbwa nyinyi basi ni wenu huo

Hatuchek na kima yoyote
 
Friends and Our Enemies,

Nichukue nafasi hii kumpongeza sana Mh Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk Samia Suluhu Hassan.

Hakika leo amesimama imara kukisema kile ambacho sisi wazalendo wa nchi hii tumekuwa tunamatamani siku zote akitamke na watu waelewe uhalisia.

Rais Samia amesimama imara na kukataa kuifanya ile mila la kanisa katoliki na washirika wake kuwa ndiyo wenye mamlaka pekee na amri ya kuipiangia serikali eti nini kifanye na kipi isifanye na nini kitatokea endapo serikali haitatii.

Nadhani ni wakati sasa TEC umefika na kutambua kuwa nyinyi siyo lolote na siyo chochote kwenye nchi hii,kazi yenu kubwa ni kuchunga kondoo wenu na kuhubiri neno la mungu na siyo kupimana nguvu na serikali na kutaka kujipa mamlaka ambayo siyo yenu.

Amesisitiza na kuwaambia TEC waache uchochezi na kugawa watu na kujipa kazi ambayo siyo yao.

Nchi hii inaongozwa kwa tunu ya amani na upendo na suala la kudai haki linaendana na wajibu katika kudai haki na njia stahiki ya kuendea haki hiyo.

Siyo wanakuja wahuni kuchoma nchi na kuchochea vurugu kisha mnasema kwamba walikuwa wanafanya maandamano.

Na mkisema kuwa nguvu iliyotumika ni kubwa kwahiyo TEC mlitaka itumike nguvu gani mbadala ya kuhakikisha watu waliotaka kupindua nchi wanadhibitiwa.?

Rais samia anasema tokea aingie madarakani TEC wameshakuja na Waraka nane zenye kuipinga serikali tatizo ni nini??chuki kwa kuwanyeye siyo mtu wa imani yao,au hajazaliwa kwenye upande wao au shida nini??

Rais samia piga kazi,tupo nyuma yako na unazo dua zetu.

TEC watambue kuwa zama zao za kuongoza nchi kwa njia ya mfumo kristo zimeshaisha.
Leo amenikosha sana ndio anavyotakiwa kuwa Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama. Huyo Padre Kitima na huyo Rais wa TEC ni wanaharakati. Mimi ni RC lakini hatuwataki kabisa kwa uanaharakati wao kama wanataka wajiunge kwenye vyama vya siasa kama ambavyo alifanya Dr. Slaa waache waumini wa RC waendelee na imani zao na wala siyo siasa uchwara.
 
Gen z inatakiwa uyu bibi tupitishe vidudu vyetu apo kwenye kikojoleo chake maana badala ya kutuliza hasira ni km anazochochea
 
Leo amenikosha sana ndio anavyotakiwa kuwa Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama. Huyo Padre Kitima na huyo Rais wa TEC ni wanaharakati. Mimi ni RC lakini hatuwataki kabisa kwa uanaharakati wao kama wanataka wajiunge kwenye vyama vya siasa kama ambavyo alifanya Dr. Slaa waache waumini wa RC waendelee na imani zao na wala siyo siasa uchwara.
Ahsante Mkuu
 
Back
Top Bottom