Rais Samia awatumbua Mkuu wa Wilaya Morogoro Bakari Msulwa na Mkurugenzi Morogoro Sheilla Lukuba Kwa Mgambo Kuwapiga Wamachinga

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Rais Samia kawatumbua kwa kuwashambulia Machinga mtaani mkoani Morogoro.

Aliyetumbuliwa ni Bakari Msulwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro na Sheilla Lukuba Mkurugenzi Morogoro. NI kutokana na Mgambo kuwapiga Machinga.

Pia amesisitiza ajira zote zinazokuja za Ma-DC zijazo zitakuwa za vijana.
IMG-20210615-WA0013.jpg

 
😆😅😄😃😂😁😀😄😅😆😃😂😁😀😄😃😂
 
Angetangaza nafasi za kazi hapahapa tufanye interview hapahapa uwanjani vijana tuondoke na ajira mbili leo kuliko kusema serikali haina ajira za kutosha hizo hizo ndogo zinatosha
 
Back
Top Bottom