Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.

Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa

Rais Samia tafadhali hakikisha na hiki ulichokifanya kwa Ole Sabaya pia ukifanye kwa Paul Makonda kwani ana Madhambi yaliyomshangaza hata Shetani.
Kwa sababu nyinyi wauza madawa ya kulevya kushika mpini kwa sasa.
Lolote mtakalo na lifanyike kwa jina la wahuni.
Ila msisahau wakati ukuta.
 
Back
Top Bottom