MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Ninamkumbusha tu napo najua analijua.Una mpangia?
Heshimu Maoni ya Watu hapa You Fool.Akuaminishe wewe ukiwa kama nani chief....sisi wengine tumeshamuamini na inatosha.
Waanze Kwanza kumkamata Makonda.
Huwezi kuwafananisha kwani Makonda hayuko serikalini na huyo Sabaya alikuwa mtumishi wa serikali!Kwangu Mimi kutokana na Tuhuma zao ( hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao ) namfananisha Ole Sabaya na Papa na Paul Makonda ni Nyangumi...
umenichekesha ndugu kauli yako ya ukali na masihara ndani yakeHeshimu Maoni ya Watu hapa You Fool.
Makonda hayuko Serikalini sasa ila je, huko nyuma hakuwa Serikalini huko?Huwezi kuwafananisha kwani Makonda hayuko serikalini na huyo Sabaya alikuwa mtumishi wa serikali!
Majibu tu ya hao Wapuuzi huwa ninayo.umenichekesha ndugu kauli yako ya ukali na masihara ndani yake
Kanyanyasa, Katesa na Kapora sana tu.Kubwa la maadui "Hon Paul Makonda" tumbo la kuharisha limemshika huko alipo.
Eid hii kuna watu watailia Mzena Hospital na drip za glucose mikononi.
Taratibu basi!!!Kwangu Mimi kutokana na Tuhuma zao ( hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao ) namfananisha Ole Sabaya na Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.
Utoaje AMRI ya Kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuogopa au ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa.
Rais Samia tafadhali hakikisha na hiki ulichokifanya kwa Ole Sabaya pia ukifanye kwa Paul Makonda kwani ana Madhambi yaliyomshangaza hata Shetani.
Sikutegemea kama unayejiita Great Thinker ungeuliza Swali la Kipumbavu sana hili.Kwani kuchunguzwa maana yake ni kukamatwa?
Kuna Watu mna Akili za hovyo hovyo tu
Nasisitiza Rais Samia Suluhu Hassan aamuru upesi sana aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite ) nae akamatwe na achunguzwe kwa Tuhuma zake ambazo ni zaidi ya alizonazo DC Ole Sabaya. Acha Unafiki Hopeless mkubwa Wewe sawa?Taratibu basi!!!
Hata kama angekuwa na nia ya kufanya kama hayo unayo mshauri ayafanye, mbona papara hivyo?
Wewe ungekuwa kiongozi ungesumbua sana, huenda hata Mwenda zake angekuwa nafuu kuliko wewe!
Hebu acha kunipotezea Muda tafadhali.Hoja hapa ilikuwa Rais awachukulie hatua wengine kama alivyomchukulia Sabaya ya kuwasimamisha kazi wote kwa pamoja na ndipo likatajwa jina la Makonda!! Hapo ndipo tukabainisha kuwa Makonda hayupo tena serikalini hivyo sio rahisi kumchukulia hatua ya kumsimamisha!!
Suala la kuhojiwa kwa matendo yake alipokuwa RC na kama alivunja sheria hilo liko chini ya taasisi husika na sioa kazi ya rais kuwaambia nini cha kufanya kwani sheria ndio inayochukua mkondo wake!