Nasisitiza Rais Samia Suluhu Hassan aamuru upesi sana aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite ) nae akamatwe na achunguzwe kwa Tuhuma zake ambazo ni zaidi ya alizonazo DC Ole Sabaya. Acha Unafiki Hopeless mkubwa Wewe sawa?

Were kama nani kumuamuru Rais wetu afanye kama utakavyo? Sabaya na nyie ndugu zake mmevuna mlichopanda !! Ever heard of KARMA you fools?
 
Were kama nani kumuamuru Rais wetu afanye kama utakavyo? Sabaya na nyie ndugu zake mmevuna mlichopanda !! Ever heard of KARMA you fools?
Mimi kama Krav Maga na najua Rais Samia atafanya tu kama nilivyomshauri hapa hata kama ni Kimya Kimya.
 
Anaweza kuchunguzwa akaonekana alikuwa anapata order toka juu,ikaishia kimya kimya kama report ya BIOTII mpaka leo kimya, waandishi siku moja wamuulize Sa100,ile report ya Jan to march,aliyoagiza mbona kimya......nchi hii hizi ni comedy tu za kufurahisha wale waliokuwa wanapiga ngoma na kudemka mitandaoni .

Makonda alimtabiria mama makubwa bunge la konstitusheni, so yuko sefu kwa mtazamo wangu
 
Akikamatwa Mimi nitakutunza tu sawa?

Kama alifanya makosa vyombo vya DOLA vimshuhulikie, mimi hilo sina tatizo nalo!! Sikubaliani na wewe pale unapolazimisha hatua zichukuliwe dhidi yake bila kufuata utaratibu kama alivyokuwa anafanya Jiwe!!
 
Absolutely Rubbish.
 
Nimejikuta nacheka tu, mshusha thread mwandiko wako, jazba na kurudia rudia kutaja jina lako vinashabihia na IDs nyingine mbili tatu hivi.

Umechangamsha genge somehow, hayo ya Bashite tuwe na subra muda utatupa majibu kwani yanayoendelea behind the curtain kwa tulio nje ya system hatuyafahamu.
Nadhani SASHA anakwenda sawia, one step at time huku akizingatia taratibu za kisheria si kama phase ya mwendazake ya kidnappings, detentions na eliminations.
 
Back
Top Bottom