Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,593
- 6,934
Nini alichokifanya, acha kuzungukaUna umri gani?
Huyu babu kuna watu wanamsifia bure, lakini hakuna kizuri alichokifanya zaidi kuwasumbua wageni na kutaifisha mali zao,, kumiliki tv ilikua ni ishu, sijui alitaka wananchi wawe na maisha ya tabu ama nini haswaa lilikuwa lengo lake!!!!Nyerere alinunua au walitaifisha za EAC???