Rais Samia apokea Ndege ya Mizigo, aeleza nia ya Serikali kuboresha Sekta ya Anga kwa miaka mitano ijayo

Namna hayo magari ya fire yanavyorusha maji juu siku za kupokea ndege, yangefanya hivyo na pale Kariakoo, hakika wangeudhibiti moto kwa muda mfupi...
Pale airport kuna fire hydrant hivyo hayo Magari yalitape maji kwa urahisi, kkoo hamna
 
Nyerere amefanya maendeleo gani mkuu! Hata ki-TV kumiliki ilikua ishu! Katika marais watano waliopita plus mama samia wanaafazali kuliko nyerere.
Duh...kwamba umeandika 'wanaafazali' bila Shaka upeo wako wa Mambo umeeleweka vizuri..
 
Hiyo panga boy ni ndege ya mizigo? au mimi ndo sijamwelewa mleta mada....
 
Pale airport kuna fire hydrant hivyo hayo Magari yalitape maji kwa urahisi, kkoo hamna
Hapo juu point ilikuwa ni namna magari ya Airport yalivyo na nguvu ya kurusha maji, nguvu ambayo sio msaada kwenye majanga lakini inaoneshwa tu wakati wa water salute
 
Hv Nyerere na yeye alikuwa akienda airport kupokea yale maboeing aliyonunua?
We kenge Kama hujui history pita kule, Ndege zile zilikuwa za EAC, na ilipo vunjika vilivyo kuwa nchini mwako kwa kwa wakati huo ndicho kilicho kuwa halali ya nchi husika, na ndiyo maana Kuna Pilot alizawadiwa na Rais Magufuli kwasababu kipindi kile EAC inavunjika yy alikuwa anatua Nairobi alivyo sikia aka liinua na kuja kulipaki hapo DIA,
 
As G.A.Y. as in somebody must have done this to you before. You must have been on the receiving end of this kind of perverse behavior to be so graphic and seemingly happy in the way you expressed yourself here. I feel sorry for you parents and wife/girlfriend (if you really have one).
 
..bajeti ya kilimo ni billion 294.

..gharama za kununua ndege ni trillion 2.

..maana yake ni kwamba gharama za kununua ndege ni sawa na bajeti ya kilimo ya miaka 6 mpaka 7.

..siamini kama ni busara kuingia gharama kubwa kiasi hicho kwa mradi ambao unatuingizia hasara mwaka hadi mwaka.
 
Wanaangalia ndege zikiruka lakini hawajui gharama zake! It’s a pity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…