Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 4,937
- 6,044
Pale airport kuna fire hydrant hivyo hayo Magari yalitape maji kwa urahisi, kkoo hamnaNamna hayo magari ya fire yanavyorusha maji juu siku za kupokea ndege, yangefanya hivyo na pale Kariakoo, hakika wangeudhibiti moto kwa muda mfupi...