Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,209
- 4,706
Rais Samia amezungumza na Kansela Wa Ujerumani Bi Angela Merkel Leo kutokea Ikulu ya Magogoni
----
----
Mazungumzo ya mwanamke kwa mwanamke hayanaga issue muhimu.......Rais Samia amezungumza na Kansela Wa Ujerumani Bi Angela Merkel Leo kutokea Ikulu ya Magogoni
View attachment 1920072
Anamwomba chanjo na hela, na barakoa za msaada na kuuliza wimbi la tano linakuja liniBila kusema walichozungumza na manufaa yake kwa taifa ni kudemka tu. Nini cha maana tutarajie maana tunaka kazi tu na maendeleo na sio tozo
Bila shaka wamepeana elimu nzuri ya kupika urojo na kutengeneza SandwichRais Samia amezungumza na Kansela Wa Ujerumani Bi Angela Merkel Leo kutokea Ikulu ya Magogoni
View attachment 1920072
"Nakwambia shoga yangu wanavyonichamba, nimeweka vijitozo wanalialia tu shoga, sasa shoga yangu naomba unialike huko basi"Rais Samia amezungumza na Kansela Wa Ujerumani Bi Angela Merkel Leo kutokea Ikulu ya Magogoni
View attachment 1920072
"Nakwambia shoga yangu wanavyonichamba, nimeweka vijitozo wanalialia tu shoga, sasa shoga yangu naomba unialike huko basi"
Dah"Nakwambia shoga yangu wanavyonichamba, nimeweka vijitozo wanalialia tu shoga, sasa shoga yangu naomba unialike huko basi"
Talban kama naaaanza kuwaelewa wale watuMazungumzo ya mwanamke kwa mwanamke hayanaga issue muhimu.......
Ni umbea tu sio?Mazungumzo ya mwanamke kwa mwanamke hayanaga issue muhimu.......
😂😂😂😂🤣🤣🤣"Nakwambia shoga yangu wanavyonichamba, nimeweka vijitozo wanalialia tu shoga, sasa shoga yangu naomba unialike huko basi"
We mshamba kweli. kama ungejielimisha kidogo tu, wala Merkel wala Samia wanaandaa sandwich. Samia sina habari. Merkel ni mashuhuri kwa supu yake ya viazi, pamoja na bata bukini ya Krismasi (desturi ya huko).Bila shaka wamepeana elimu nzuri ya kupika urojo na kutengeneza Sandwich
Kwani wameongea nini!?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel Ikulu Jijini Dar es salaam leo Sept 01,2021. PICHA NA IKULU.