Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
7,911
14,414
Hakika Nani Kama mama, hakika anaupiga mwingi! Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!

Ni hivi kwa wale watumishi wa umma, hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu Rais wa watu, yaani Kama una mkopo Bank Au Loan Board.

Chukua kiasi cha mkopo wa mwezi 12/2021 toa kiasi cha mkopo mwezi 1/2022. Utagundua kuwa umelipiwa Mara Mbili ya kiasi ambacho huwa unalipa kila Mwezi, hapa ni kwamba Kama mkopo wako ulitarajia utaisha mwezi wa pili ,basi mwezi huu umeshalipiwa, hivyo hudaiwi.

Sisi wafanyakazi wako tunaahidi kumuunga kwa kila unalolifanya, Samia Safi!!! Nani Kama mama????

# kazi iendelee!!
 
Hakika Nani Kama mama,hakika anaupiga mwingi! ,Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!

Ni hivi kwa wale watumishi wa umma,hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu rais wa watu ,yaani Kama una mkopo Bank Au Loan Board ..
Chukua kiasi cha mkopo wa mwezi 12/2021 toa kiasi cha mkopo mwezi 1/2022. Utagundua kuwa umelipiwa Mara Mbili ya kiasi ambacho huwa unalipa kila Mwezi ..,hapa Ni kwamba Kama mkopo wako ulitarajia utaisha mwezi wa pili ,basi mwezi huu umeshalipiwa ,hivyo hudaiwi.

Sisi wafanyakazi wako tunaahidi kumuunga kwa kila unalolifanya ,Samia Safi!!!,Nani Kama mama????

# kazi iendelee!!
Aisee
Watanzania tunahitaji tiba ya haraka mno.

Hali si nzuri vichwani mwa watu
 
Hakika Nani Kama mama,hakika anaupiga mwingi! ,Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!

Ni hivi kwa wale watumishi wa umma,hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu rais wa watu ,yaani Kama una mkopo Bank Au Loan Board ..
Chukua kiasi cha mkopo wa mwezi 12/2021 toa kiasi cha mkopo mwezi 1/2022. Utagundua kuwa umelipiwa Mara Mbili ya kiasi ambacho huwa unalipa kila Mwezi ..,hapa Ni kwamba Kama mkopo wako ulitarajia utaisha mwezi wa pili ,basi mwezi huu umeshalipiwa ,hivyo hudaiwi.

Sisi wafanyakazi wako tunaahidi kumuunga kwa kila unalolifanya ,Samia Safi!!!,Nani Kama mama????

# kazi iendelee!!
Hata mimi nimeona kuna punguzo la mkopo, mkopo wangu ulikuwa unaisha mwezi July lakini nimefanya hesabu unaisha Mei

Benki ndio wamepunguza
 
Hakika Nani Kama mama,hakika anaupiga mwingi! ,Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!

Ni hivi kwa wale watumishi wa umma,hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu rais wa watu ,yaani Kama una mkopo Bank Au Loan Board ..
Chukua kiasi cha mkopo wa mwezi 12/2021 toa kiasi cha mkopo mwezi 1/2022. Utagundua kuwa umelipiwa Mara Mbili ya kiasi ambacho huwa unalipa kila Mwezi ..,hapa Ni kwamba Kama mkopo wako ulitarajia utaisha mwezi wa pili ,basi mwezi huu umeshalipiwa ,hivyo hudaiwi.

Sisi wafanyakazi wako tunaahidi kumuunga kwa kila unalolifanya ,Samia Safi!!!,Nani Kama mama????

# kazi iendelee!!
Uzi kama huu kwanini usifutwe au mod mnaruhusu habari za uongo humu
 
Mleta uzi yupo sahihi,Kuna mambo mawili yamefanyika.
1. Deni la HESLB limerekebishwa kwa maana kwamba lililopo kwenye Salary slip kwa Sasa linaendana na Loan statement ya HESLB, shahidi ni mimi mwenyewe.

2. Wenye mikopo yao benki na taasisi nyingine za kifedha, kiwango Cha marejesho kwa mwezi wa kwanza kimeongezeka Mara mbili bila kuathiri take home yako. Mfano, kama Deni lako mwezi December 2021 lilikuwa 600,000/=na Makato/marejesho ya kila mwezi ni 200,000/= ilitakiwa Deni libaki 400,000/= lakini kwa Sasa limebaki 200,000/=. Mpaka sasa hakuna ufafanuzi wowote uliotolewa juu ya hili la pili na mamlaka zinazohusika.
 
Back
Top Bottom