Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

Mama hata ujipigie debe vipi, kazi imeishakushinda
Sikulaumu ndugu yang sababu najua umeshalishwa sumu na wachumia tumbo. Wanaojifanya wanapigania masilahi ya wananchi na wanachama wao kumbe ki uhalisia wanapigania matumbo yao.
 
Acheni kujitoa akili. Ni mbumbumbu ndio anaweza kuamini ushubwada kama huu ulioandika 0.1% ndio umekufanya uache kutegemea misaada. Then unapokea ya nini?
Hoja hapa ni 91.9% kujitegemea mkuu,

Soma mpaka mwisho utaelewa vizuri,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
 
Sikulaumu ndugu yang sababu najua umeshalishwa sumu na wachumia tumbo. Wanaojifanya wanapigania masilahi ya wananchi na wanachama wao kumbe ki uhalisia wanapigania matumbo yao.
Mr Dudumizi mweleweshe ataelewa tu muda bado tunao,

Ukirejea alichosema Msigwa utaelewa vizuri Sana

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
 
Facts?,yaani nmekufuatilia nikajua uko kwa kazi maalumu,endelea mtalipukia mbele ,watanzania kwa sasa si wajinga ,hayo makaratasi yenu endeleeni nayo kujirisha matango pori
Hata hao wajanja unaomaanisha hapa wamechangishwa na wamepigwa michango ya kampeni vile vile.. Kuna watu bado wanaamini kuwa huyu jamaa akishinda uraisi Tanzania itakuwa ni zaidi ya China na USA.

2528007_20200919_173148.jpg
 
Msaada ni unapokea au hupokei,mengine ni mavi unaongea hapa...

Na documents mlizotuma kuomba hiyo "misaada" kwanini mnatuma barua kuomba kama sio "lazima"?
Nimekwambia misaada tunaitaka sana tu ila hata bila misaada mzigo unafika,

"KWETU MISAADA NI MUHIMU ILA SIO LAZIMA "

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
 
Naun
Ukweli ni kwamba wengi wanaelewa lkn wakionesha kuelewa kwao hapa jukwaani, basi watakosa kutumiwa bando na wale wanao watuma.
Naunga mkono hoja yako 100%

Samia ni mtu imara sana kwa sasa tumsapoti tu

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
 
Pacha unaele
Sisi Tanzania kama nchi nyingine duniani tunapokea misaada na mikopo toka nchi wahisani pamoja na
Pacha unaeleweka sana tu, kama mtu atashindwa kukuelewa hata elewa milele,

Tanzania iko salama sana kwa Rais Samia,

Kunawatu wachache sana ndio wanajidai hawaoni hii kazi ya Mama yetu

Kazi iendelee
 
Naun

Naunga mkono hoja yako 100%

Samia ni mtu imara sana kwa sasa tumsapoti tu

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Wapinzani wamekaa bungeni zaidi ya miaka 15 na wengine wameongoza vyama vyao zaidi ya miaka 20. Lakin mpaka leo hawana chochote cha maana walichofanya kuanzia majimboni kwao mpaka katika vyama vyao.
 
endelea na moyo huo huo
Vijana wazalendo wamepungua sana

Rais Samia anaupiga mwigi balaa leo Mkoa wa Moshi kafunika aise
Ila Moshi sio mkoa mkuu,

Tuko pamoja tuendelee kuipigania nchi yetu,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
 
Wapinzani wamekaa bungeni zaidi ya miaka 15 na wengine wameongoza vyama vyao zaidi ya miaka 20. Lakin mpaka leo hawana chochote cha maana walichofanya kuanzia majimboni kwao mpaka katika vyama vyao.
Wale ni watafuta vyao sio vya wananchi kama ilivyo kwa CCM,

kunautofauti mkubwa sana kati ya Mwanaccm na Mpinzani

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Sentensi ya CONTRADICTION hii

Upo confused,huwezi taka 1 na 0 kwa wakati huo huo mmoja,hii ni mathematically and practically impossible!
Mbona inaeleweka sana tu,

Wewe chukua hii,

Your Sal 4M
Then unabiashara inaingiza 500K kwa mwezi,

Hii biashara ni muhimu ila aio lazima hata kama ikifa 4M sal itakutosha,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Pacha unaele

Pacha unaeleweka sana tu, kama mtu atashindwa kukuelewa hata elewa milele,

Tanzania iko salama sana kwa Rais Samia,

Kunawatu wachache sana ndio wanajidai hawaoni hii kazi ya Mama yetu

Kazi iendelee
Utukufu kwa Mungu juu Pacha,

Umeona Mama alivyoshine leo?

Asante sana watu wa Kilimanjaro

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Back
Top Bottom