Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

Facts?,yaani nmekufuatilia nikajua uko kwa kazi maalumu,endelea mtalipukia mbele ,watanzania kwa sasa si wajinga ,hayo makaratasi yenu endeleeni nayo kujirisha matango pori
Hakuna cha kazi maalum mtu anatetea tu chama chake na Rais wake
 
Mkuu hata ingekuwa 8:8 bado ilipashwa kusemwa,

Watu wanasema Tanzania inategemea misaada je nikweli?

Unataka tunyamaze?

Wanaaema Rais Samia anategemea misaada hataki kujitegemea kama mwenzake, Hoja hii iwasaidia kutambua ukweli wa Rais Samia

Sababu ya hoja yangu ni hiyo mkuu wangu,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Tanzania hatutegemei mkopo nakataa
 
Haaaah!

Kumbe bajeti ya mama misaada ya mabeberu imepungua?
Mungu amlinde mama yetu sana

Waliosema tunategemea misaada njooni mjibu haoja za crde hapa,

CM 1774858 wewe ni mzalendo endelea kufukuza waongo wote wa nchii hii
💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿🙌🏿🙌🏿 Andiko zuri sana
 
Mkuu hata ingekuwa 8:8 bado ilipashwa kusemwa,

Watu wanasema Tanzania inategemea misaada je nikweli?

Unataka tunyamaze?

Wanaaema Rais Samia anategemea misaada hataki kujitegemea kama mwenzake, Hoja hii iwasaidia kutambua ukweli wa Rais Samia

Sababu ya hoja yangu ni hiyo mkuu wangu,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿🙌🏿🙌🏿
 
Haaaah!

Kumbe bajeti ya mama misaada ya mabeberu imepungua?
Mungu amlinde mama yetu sana

Waliosema tunategemea misaada njooni mjibu haoja za crde hapa,

CM 1774858 wewe ni mzalendo endelea kufukuza waongo wote wa nchii hii
Jf watu wanapenda udaku

Hapa ni fact tu
 
Back
Top Bottom