Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,125
- 8,231
- Thread starter
- #121
Kwani Moscow futari hakuna?Kwa hho ulitaka awe Moscow?
Nchi huru hii usipangie watu Cha kufanya
Kwani Moscow futari hakuna?Kwa hho ulitaka awe Moscow?
Nchi huru hii usipangie watu Cha kufanya
Mkuu hili Ms ni neno tu kama Mrs lakini hutumiwa hasa kama huna uhakika kama huyu bibie ana Mume au ni msimbe...sasa bwana Yule 'Mbabe' aliyewakilishwa na balozi hana uhakika kama Hangaya ana Mume au hana, hata mimi binafsi simjui 'Mzee' wetu.Kilichonishangaza leo kumaddress mheshimiwa Raisi wetu kama Ms! Hiyo Ms ni miss bila shaka au wataalam nimeenda Chaka?
NINGEKUWA RAIS WA TANZANIA HAPO NDIO NINGECHOMEKEA KUNUNUA MAFUTA NA GESIPutin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.
View attachment 2201707
NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
NI UJINGA ............................USA WANAFIKI SANA,KUTWA KUZURURA KUMSENGENYA MRUSIKwa nini Royal Tour haikufanyikia Moscow.
Halafu mnajiuliza kwa nini Biden anamkwepa Samia...Why Don't you ask Why....Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.
View attachment 2201707
NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
Bado yuko Marekani natimu yote ile? Hizo per-diem zao zilikuwa kwenye bajeti?Na mama hadi leo anakula futari la Marekani.
Hujajibu swali badala yake unazusha ambayo hayapo.NI UJINGA ............................USA WANAFIKI SANA,KUTWA KUZURURA KUMSENGENYA MRUSI
Tena akome kabisaaaKhee mbona makubwa haya
Atukome huyu baba
Putin wa MchongoMbona hamna signature ya Putin?
Jamaa linajuaga kuchokoza kinoma sana.Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.
View attachment 2201707
NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
😃😃😃Putin aje kuna Rubi za bure huku.
Daah Putin shikamoo!Soma kwa jicho la 3.
Laiti kama ungelielewa!Sipati picha wafuasi wa jiwe wangerukaruka kwa furaha kama yule fashisti ndii angekuwa hai akatumiwa hiyo barua na huyo dikteta Putin...