Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.

Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.

View attachment 2201707

NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
Ungekuwa umesikiliza alichosema mama, ungejuwa ni kwanini kapata hizo salam. Kwa mujibu wa NY Times, mama alisema hajui nani ni mkorofi ama mkandamizaji kati ya Urusi na UkrIne. Na kwamba hafahamu ni kwanini wanapigana.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
.....
IMG-20220426-WA0018.jpg
 
Una elimu gani mkuu

Kweli tz bado Ina kiwango kikubwa cha illiterate people
... kwamba sijui Putin anajua kibeberu au? Elewa context kabla ya kuhoji elimu yangu. Nakubaliana na wewe illiterate ni tatizo nchi hii and you have demonstrated it!
 
Ungekuwa umesikiliza alichosema mama, ungejuwa ni kwanini kapata hizo salam. Kwa mujibu wa NY Times, mama alisema hajui nani ni mkorofi ama mkandamizaji kati ya Urusi na UkrIne. Na kwamba hafahamu ni kwanini wanapigana.
Aache unafiki, yaani mtoto wa kidato cha nne afahamu sababu za Putin kulianzisha huko Ukrain yeye Rais wa nchi asifahamu hata ABC.?
 
Biden is Old 78 yrs old.

Hawezi Risk kukutana na Rais toka Africa.

Ndio maana Rais Samia akakutana na kamala.

Ili hata akipata korona.

Basi anaweza pambana.

Nyie si mlisema Rais wenu alifariki kwa korona, wameamua kumlinda wao.
Uyo Kamala kakutwa na Corona ..bi Tozo sijui atakuwa na Khali Gani Hadi Sasa..
 
Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.

Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.

View attachment 2201707

NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
Pamoja na ARVs wanazotupa bure, Wamarekani pia walituma salamu jana 😂
 
Khee mbona makubwa haya
Atukome huyu baba
Asante sana camarade Vlad kwa kuungana nasi ktk kuadhimisha siku ya muungano wetu. Tanzania na Russia ni dugu toka enzi na enzi, na sasa tuko pamoja kupinga ubeberu unaopandikizwa kwenye huu upuuzi wa new world order. Mabeberu ziiiiii.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Zimemfikia....

Tanzania na Urusi ni marafiki...urafiki utakaodumu milele....aaamin aaamin aaamin🙏

Lastly , HATUFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE ULE

#Siempre JMT🙏
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Duuuu sijui lakini ila mm hawa chama langu la CCm huwa siwaamini,,, lazima atakuwa balozi wa Urusi
 
Kilichonishangaza leo kumaddress mheshimiwa Raisi wetu kama Ms! Hiyo Ms ni miss bila shaka au wataalam nimeenda Chaka?
 
Huyu mwamba ana huruma sana,tuki mpatia kieneo cha kuweka majeshi yake hata kule Kibiti au kule mtwara jirani na cabo del gado,
Walah tutajikomboa bei ya mafuta ya kula,diesel na petrol,
Mafuta yatashuka bei ,Tutauziwa kwa bei kilo ya ngano.
 
Back
Top Bottom