Rais Samia amtumia Salam za pongezi Rais Vladimir Putin kwa Kuchaguliwa tena Kuongoza Russia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,137
144,142
Rais Samia amemtumia Salam za pongezi Rais Vladimir Putin kwa Kuchaguliwa tena Kuongoza taifa la Russia

Ni mategemeo ya Rais Samia kuwa ushirikiano mwema baina ya nchi zetu mbili utazidi kuendelezwa

Salam zimetumwa kupitia Ukurasa wake Kule X

Screenshot_20240322_062656_X.jpg

Zelensky nae kasema anaangalia Marais wote wanaompongeza Putin
 
Hakukuwa na haja kumuandika Putin barua ya Kiingereza.

Ukiangalia interview za Putin, ukimwambia "Goodmorning" anataka wamtafsirie, Kiingereza hataki kukisikia, na hakubali kwamba wote duniani tunapaswa kukitumia. Yuko vitani sasa hivi anapinga uzungu uzungu kumsogelea kupitia jirani yake. Watu wa Ikulu wangekuwa wafatiliaji mambo ya dunia, na wana upeo wa kawaida, common sense, na wanataka kumkuna Putin kama walivyonuia kwa hili pongezi, wangeandika hii kitu kiswahili au kirusi.
 
Rais Samia amemtumia Salam za pongezi Rais Vladimir Putin kwa Kuchaguliwa tena Kuongoza taifa la Russia

Ni mategemeo ya Rais Samia kuwa ushirikiano mwema baina ya nchi zetu mbili utazidi kuendelezwa

Salam zimetumwa kupitia Ukurasa wake Kule X

Mtu muoga anayeogopa hata watu waliopo magerezani kwa amri zake mwenyewe na kuua.Halafu,anaitisha uchaguzi na kujipongeza kwa kujichagua.Hectic!
 
Слава России!
Wanasema "Россия для русских..."
 
Back
Top Bottom