Wanaotaka kututoa kwenye misingi ya nchi yetu...Wenye negative comment kwenye uzi huu ni pro nato.
Wanaotaka kututoa kwenye misingi ya nchi yetu...Wenye negative comment kwenye uzi huu ni pro nato.
Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.
View attachment 2201707
NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!