Rais Museveni awaomba rasmi msamaha Waganda. Bado nyie CCM!

Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao.

Rai yangu kwa CCM. Museven ameona arekebishe na Waganda kabla haijawa too late. Nyie endeleeni tu kututeka na kutuua. Endeleeni tu kusema wazi bungeni kuwa sisi ni Kenge na tushughulikiwe na vyombo vyenu vya dola. Ushauri wangu kwenu andaeni ndege za kutosha kuwasafirisha na familia zenu tutakapoamua rasmi kuwashughulikia.

===
Rais Yoweri Museveni na Mkewe Janet Museveni wameomba msamaha hadharani, wakikiri kuwepo kwa mapungufu katika utawala wao, rushwa, na kuwatelekeza wananchi, hasa wa eneo la Buganda, wakati joto la kisiasa likizidi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2026.

Katika tukio lililoandaliwa na binti yao, Mchungaji Patience Rwabwogo, wawili hao walisimama bega kwa bega na kusoma sala ya pamoja ya toba waliyoiandaa, walikiri uzembe na kasoro zilizopo serikalini katika awamu ya uongozi wao.
“Tunakubali kuwa sisi ni binadamu, tumewakosea, na tumefanya makosa kwa namna moja au nyingine. Utusamehe, Ee Bwana,” walisema Museveni na mkewe.
Aidha, mtoto wao, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ambaye ni Mkuu wa Majeshi hakuudhuria ambaye amekuwa gumzo kutokana na ndoto zake za kisiasa na taswira yake tata. Hali hiyo imezidi kuchanganya mjadala wa uongozi baada ya Museveni, huku serikali ya sasa ikilinganishwa na tawala za zamani za Idi Amin na Milton Obote – ambapo Museveni mwenyewe alipinga vikali.

===================For English Audience====================

President Museveni and First Lady Janet Museveni have issued a rare joint public apology, acknowledging failures in governance, corruption, and alienation of citizens, especially in Buganda, as political tensions mount ahead of the 2026 general elections.

In a carefully choreographed moment at a national evangelical convention organised by their daughter, Pastor Patience Rwabwogo, the couple stood side by side and read from a prepared joint prayer of repentance, admitting negligence and lapses within their government.
"We acknowledge that we're human, have missed you and have made mistakes in one way or the other. Forgive us, oh Lord," the Musevenis

Notably absent from the event was their controversial son and military forces chief, Gen Muhoozi Kainerugaba, whose political ambitions and divisive image have complicated the post-Museveni narrative, often leading to comparisons of the ruling government to the regimes of Idi Amin and Milton Obote- which Museveni opposed.

View attachment 3348683
M7
 
Mtu kamwe asikwepe haki kufanyika kwa kisingizio cha kuomba msamaha hiyo haikubaliki na sheria lazima itachukua mkondo wake.

nemo est supra leges
No one is above the law.
 
Buganda kingdom wameanza vuguvugu la chinichini la kupingana waziwazi na m7. Na Wana ushawishi mkubwa Uganda m7 kachungulia kaona atatolewa ikulu ya nakasero very soon kaanza kuomba poo 😂
 
Waganda fanyeni jambo la busara
Jamaa wapumzike sasa waachue hatamu
Hivi hata aibu hawaoni?
 
Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao.

Rai yangu kwa CCM. Museven ameona arekebishe na Waganda kabla haijawa too late. Nyie endeleeni tu kututeka na kutuua. Endeleeni tu kusema wazi bungeni kuwa sisi ni Kenge na tushughulikiwe na vyombo vyenu vya dola. Ushauri wangu kwenu andaeni ndege za kutosha kuwasafirisha na familia zenu tutakapoamua rasmi kuwashughulikia.

===
Rais Yoweri Museveni na Mkewe Janet Museveni wameomba msamaha hadharani, wakikiri kuwepo kwa mapungufu katika utawala wao, rushwa, na kuwatelekeza wananchi, hasa wa eneo la Buganda, wakati joto la kisiasa likizidi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2026.

Katika tukio lililoandaliwa na binti yao, Mchungaji Patience Rwabwogo, wawili hao walisimama bega kwa bega na kusoma sala ya pamoja ya toba waliyoiandaa, walikiri uzembe na kasoro zilizopo serikalini katika awamu ya uongozi wao.
“Tunakubali kuwa sisi ni binadamu, tumewakosea, na tumefanya makosa kwa namna moja au nyingine. Utusamehe, Ee Bwana,” walisema Museveni na mkewe.
Aidha, mtoto wao, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ambaye ni Mkuu wa Majeshi hakuudhuria ambaye amekuwa gumzo kutokana na ndoto zake za kisiasa na taswira yake tata. Hali hiyo imezidi kuchanganya mjadala wa uongozi baada ya Museveni, huku serikali ya sasa ikilinganishwa na tawala za zamani za Idi Amin na Milton Obote – ambapo Museveni mwenyewe alipinga vikali.

===================For English Audience====================

President Museveni and First Lady Janet Museveni have issued a rare joint public apology, acknowledging failures in governance, corruption, and alienation of citizens, especially in Buganda, as political tensions mount ahead of the 2026 general elections.

In a carefully choreographed moment at a national evangelical convention organised by their daughter, Pastor Patience Rwabwogo, the couple stood side by side and read from a prepared joint prayer of repentance, admitting negligence and lapses within their government.
"We acknowledge that we're human, have missed you and have made mistakes in one way or the other. Forgive us, oh Lord," the Musevenis

Notably absent from the event was their controversial son and military forces chief, Gen Muhoozi Kainerugaba, whose political ambitions and divisive image have complicated the post-Museveni narrative, often leading to comparisons of the ruling government to the regimes of Idi Amin and Milton Obote- which Museveni opposed.

View attachment 3348683
M7 ametawala miaka 36 na bado anagombea next term, mtoto wake ni CDF na mwingine ni Boss wa Bank kuu ya uganda, wife ni waziri :CaptFailFish: , kuomba msamaha ni kick tu, yeye ndyo Mfalme wa nchi, next President baada ya yeye kuchoka atakuwa ni mwanaye Gen Muhozi (CDF), hiyo hali unailinganishaje na siasa za TZ????
 
Ni walewale tu.
 
Back
Top Bottom