Rais Museveni awaomba rasmi msamaha Waganda. Bado nyie CCM!

Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao.

Rai yangu kwa CCM. Museven ameona arekebishe na Waganda kabla haijawa too late. Nyie endeleeni tu kututeka na kutuua. Endeleeni tu kusema wazi bungeni kuwa sisi ni Kenge na kushughulikiwe na vyombo vyenu vya dola. Ushauri wangu kwenu andaeni ndege za kutosha kuwasafirisha na familia zenu tutakapoamua rasmi kuwashughulikia.

View attachment 3347394View attachment 3347395
The Chanzo Yaondoa Maudhui ya Askofu Gwajima Kufuatia Wito wa TCRA

Leo Mei 27, 2025, The Chanzo imepomea wito kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuhusu maudhui ya video tuliyochapisha katika chaneli yetu ya Youtube, ambayo ni mkutano na waandishi wa habari mazungumzo aliyoyafanya Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe (Chama cha Mapinduzi - CCM), mnamo Mei 24, 2025.

Kutokana na mazungumzo hayo kuendelea kufuatiliwa, ili kuboresha uwazi, na imani ya wafuatiliaji wetu, The Chanzo inapenda kuwajulisha wasomaji na wadau wake wengine kuwa imetubidi kuyaondoa maudhui hayo kutokana na wito huo.

Sehemu ya taarifa tuliyopokea kutoka TCRA inaeleza:

"Maudhui hayo yaliyopakiwa na Chanzo Online TV yalikuwa ni maelezo ya mtu aliyejitambulisha kwa jina la Josephat Gwajima, hayakufuata Sheria, Kanuni, Maadili wala Misingi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari kutokana na kukosa mizania/kuwa na taarifa za upande mmoja tu bila ya kuwapa nafasi upande wa Serikali au Mamlaka husika kutolea ufafanuzi shutuma au taarifa kuhusu idadi ya watu waliodaiwa kutekwa kama ilivyodaiwa katika taarifa husika. Kitendo cha Chanzo Online TV kupakia taarifa zenye kuegemea upande mmoja kinaweza kuhamasisha au kuchochea chuki dhidi ya Serikali kutoka kwa wananchi wake."

Wakati ni nadra wito wa namna hii kutokea, kutokana na wito huu kutoka TCRA, leseni ya maudhui inatutaka kuyaondoa maudhui hayo; jambo ambalo tumelifanya leo Mei 27, 2025, 10:09 asubuhi.
 
Huku censorship ndo inazidi kwa kiwango cha kutisha
 
Maana yake Mseveni pengine keshaona hali yake ya kuendelea kuishi duniani ni kama inaelekea mwisho

Lakini kwa nini utolee mfano kwa wa kwetu?

Alokwambia wao nao ni sehemu ya kufa ni nani?

Kamsikilize Tarimba Abas kwa umakini halafu urudi kutengua kauli yako hapa
 
Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao.

Rai yangu kwa CCM. Museven ameona arekebishe na Waganda kabla haijawa too late. Nyie endeleeni tu kututeka na kutuua. Endeleeni tu kusema wazi bungeni kuwa sisi ni Kenge na kushughulikiwe na vyombo vyenu vya dola. Ushauri wangu kwenu andaeni ndege za kutosha kuwasafirisha na familia zenu tutakapoamua rasmi kuwashughulikia.

View attachment 3347394View attachment 3347395
Amwachiye Besgye na mlinzi wa Bob wine.Na amkanye mwanaye.
 
Back
Top Bottom