IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu!

kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si punde atakuchafua bure
Wewe ndio umejigeuza kuwa watanzania wote aio
 
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu!

kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si punde atakuchafua bure

Kila nachosema Raisi Samia afanye anafanya vilevile nashukuru kwa kusikiliza maono yetu kwa faida ya taifa.
 
Back
Top Bottom