Rais Magufuli: Tumehamia Dodoma moja kwa moja

Hawezi

Mkuu kujenga mji inachukua one generation,ambayo ni minimum of 100years!

Hawa watu kuna kichaa kimewapanda!

Siku wanarudi na kujua walikua wanaota,itakua ni too late!
Kwaiyo wewe unashauri vipi? Unataka nani aje aanzishe labda?

Vichwani mmejaa mitope tu...... Iyo miaka 100 unataka generation ipi ije kuanzisha? familia yako ya tumboni au? Acheni sifa kila kitu kukosoa.
 
Wewe kijana ni mwongo sana
Nyerere wala hakuwa na wazo la kuhamia Dodoma. Yeye alikuwa anawapinga wale waliokuwa wanataka makao makuu ya nchi yawe Arusha ndipo yeye akachomekea "Kama mnataka makao makuu yahame labda yawe Dodoma"
 
Utashangaa kesho tu yupo Dar! Hili jiji zuri jamani jiwe hawezi maliza mwezi kule Chamwino!
 
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Jiwe analeta FUTUHI tu,hakuna mtu wa kuhamia Dodoma hapo,Kuanzia wiki ijayo anarudi JUMBA JEUPE OBAMA ROAD kula upepo wa bahari,anawadanganya waDANYANYIKA ila sie wenye akili hapana.
 
Dah

Kuamia au kuhamia

Hivi siku hizi huko shuleni walimu wameacha kufundisha matumizi ya

a na ha?

X na S ?
 
akiweza kubakia Dodoma hadi 2025 basi mifumo yote ya kiserikali itaimarika hukohuko Dodoma, na mrithi wake ataona aibu kurudi magogoni.
pia kama vipi magogoni igeuzwe kuwa 'museam'
Aliesema atayapiga mnada hayo majengo.
 
Ninachokisema hapa najua wapo watakao Ds ila kiukweli jaman naomba niseme kweli yani Mh Rais Magufuli anastaili Pongezi za dhati sanaa.

Si kazi nyepesi mtu kuweza kuama mkoa kama Dar mzee ukaamia mkoa kama Dodoma hasa kwa watu ambao tumekulia Dar tunaelewa.

Nakumbuka Rais mstafu alivyo stafu siku moja alimua kwenda kijijini kwao bahati mbaya sanaa alikutana na mvua weeee ilo Tope na udongo wa kuteleza wa msata, yani jamaa yangu alisubuli mvua ikauke alirudi mjini fasta pale mtaa wa jakaya.

Mimi nasema hata ingelikuwa mimi nisingeweza kubali kuama mjini hapa heti naamia kijijini Dodoma yani niache kuona watoto wkali pale magogoni niende dodo nikaonane na wajomba zake ndugai walio jaa ukoma?

Nisingeenda na nina uhakika Rais ajae atalaani sanaaa maamuzi ya kumtoa dar kumpleka dodoma.kweli wewe jamaa hujfata Bata ikulu ila umenikomeshea wana wengi hasa wa geti jeusi kuna mmoja nilikuwa kila siku namshusha hapo getini mwa jumba jeupe jamaa alikuwa anajiona kama yy ndo rais kudadeki sasahiv yuko Dodoma.

Dodoma hata uifnanyeje baba utaicha ulivyoikuta mkoa unalaana huo ndio maana hautoi hata viongozi makini wtu wa huko ni omba omba tu.
Mama yko ndo analaana ndo maana kakuzaa na wewe ukawa na laana unashobokea dar utakuta umezaliwa huko sitimbi sasa uko dar unajiona upo malekani mbwa we utaolewa wewe
 
Labda kaenda kwa omba omba wenzie

Hapa mwisho mwisho ndio nimekuelewa zaidi
 
Amehama, siyo ameama!
 
Kwahiyo mzee kakimbia barizi la ocean road kafata vumbi la chamwino[emoji2]
 
wajomba zake ndugai walio jaa ukoma? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tena wanaweza hata kwenda mbaali zaidi na kuondoa kinga ya rais mstaafu! Akaja kufungwa kwa kuendesha nchi bila kufuata sheria!
Sidhani kama katiba yetu imeruhusu sheria kama za makosa ya jinai kuweza kutungiwa sheria mpya inayoruhusu kushitakiwa kwa makosa ambayo yalikuwa hayaruhusiwi kushitakiwa wakati yalipo tendeka ( retrospective law).

Kama ikitokea hivyo, basi hiyo sheria inatoa mwanya wa vurugu kubwa sana, maana maraisi waliopita watataka kuja tena kuwania uraisi.
 
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Kwani ana wasiwasi kwamba atakuja MTU akabadili huo uamuzi?
 
Kwanini anaongea akifa ina maana yeye ni raisi wa maisha mpaka afe ndio atoke madarakani?Kwanini asiseme muhula wangu ukiisha?
 
Dodoma huo mji ulivyo na hali ya hewa mbaya?Ukiondoka nyumbani asubuhi bila kujisiliba na lotion iliyojazwa greaseline lazima ngozi ichanike haswaa.
 
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Yupo sahihi kwa sasa nchi yote ni Dodoma Dar ni mikoani tu
 
Back
Top Bottom