Atakaa maana safari hii ameenda kwa njia ya barabara kutoka dar hadi Dodoma bila shaka na mikoba yote ilihamishwaAkikaa dodoma mwaka mzima bila kurudi magogon ndio ntaamini
Atakaa maana safari hii ameenda kwa njia ya barabara kutoka dar hadi Dodoma bila shaka na mikoba yote ilihamishwaAkikaa dodoma mwaka mzima bila kurudi magogon ndio ntaamini
Mbona ipo kitambo sana kama sikosei tokea enzi za Mzee Mwinyi TBC walishaga jenga kituo chao na kuna redio kabisa inaitwa Kanda ya katiNi wakati sasa kuhakikisha TBC1 Wanahamishia makao makuu yao Dodoma haraka kukwepa gharama maana mzee wa LIVE kesha hama.
Acha ufala mi nimeuliza tu ili wanaojua wajibuAcha utoto kwenye mambo ya kitaifa
State agent
Amevunja katiba wapi wewe c.hi.zi..hahaha mnakaririshwa na nyie mnameza tu..kwanini msiende mahakamani Kama Kuna kitu Kama hicho..hivi mnadhan Watanzania wooote hatujasoma eeeh...nendeni mkadanganye nchi nyingine sio TZAnasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Sio tumeamia, sema tumehamiaTUMEHAMA,
TUMEHAMIA
siyo tumeama
tumeamia!
Kavunja katika Ina maana gani..unawezaje kuvunja katika, katika ni Nini jombaaHivi kuna rais kavunja katika kama magufuli toka tanzania izaliwe?
Unalonga chiichi gweegwe?!!!Hivi Wagogo tumekufanya nini kibaya?Ninachokisema hapa najua wapo watakao Ds ila kiukweli jaman naomba niseme kweli yani Mh Rais Magufuli anastaili Pongezi za dhati sanaa.
Si kazi nyepesi mtu kuweza kuama mkoa kama Dar mzee ukaamia mkoa kama Dodoma hasa kwa watu ambao tumekulia Dar tunaelewa.
Nakumbuka Rais mstafu alivyo stafu siku moja alimua kwenda kijijini kwao bahati mbaya sanaa alikutana na mvua weeee ilo Tope na udongo wa kuteleza wa msata, yani jamaa yangu alisubuli mvua ikauke alirudi mjini fasta pale mtaa wa jakaya.
Mimi nasema hata ingelikuwa mimi nisingeweza kubali kuama mjini hapa heti naamia kijijini Dodoma yani niache kuona watoto wkali pale magogoni niende dodo nikaonane na wajomba zake ndugai walio jaa ukoma?
Nisingeenda na nina uhakika Rais ajae atalaani sanaaa maamuzi ya kumtoa dar kumpleka dodoma.kweli wewe jamaa hujfata Bata ikulu ila umenikomeshea wana wengi hasa wa geti jeusi kuna mmoja nilikuwa kila siku namshusha hapo getini mwa jumba jeupe jamaa alikuwa anajiona kama yy ndo rais kudadeki sasahiv yuko Dodoma.
Dodoma hata uifnanyeje baba utaicha ulivyoikuta mkoa unalaana huo ndio maana hautoi hata viongozi makini wtu wa huko ni omba omba tu.
Hizo ni ndoto jombaa..labda Kama Watanzania hutawahusisha kwenye maamuzi.. mp.uu.zi ni wewe. Hivi unafikiri hayo ni maamuzi yake au yeye ni msimamizi tu wa utekelezaji..Mambo yapo kwenye ilani ya uchaguzi ya ccm..Mipango yote imelengwaTech, take home msg ya hotuba yake hiyo ni moja: ni kuwa anaju kuwa "upuuzi" wote anaoufanya akija mwenye akili atavifuta vyote... sheria zote alizozitunga, badilisha, ddm, etc etc etc! Thank god he knows the after effects/aftermath of his deeds!
Jomba kipindi Cha Nyerere wewe ulikuwa umeshazaliwa au umehadithiwa story..usidandie Mambo usiyoyajua..wewe Kwanza bado mwanafunzi achana na habari hizi za watu wazimaNyerere alihamia Dodoma sababu ya kuogopa kupinduliwa sababu yuko karibu na bahari. Huyu naye kahama kwa sababu hizo hizo eti anaishi pangoni
Kwaiyo wewe unashauri vipi? Unataka nani aje aanzishe labda?
Vichwani mmejaa mitope tu...... Iyo miaka 100 unataka generation ipi ije kuanzisha? familia yako ya tumboni au? Acheni sifa kila kitu kukosoa.
Thubutuuu
sijuiKuhamisha serikali kumekatazwa kikatiba ?
Wewe ni mavi na kichwani umejaza mimavi....Pumbavu wewe!
Sijakutukana unaanza kunitukana,I should retaliate back you motherfucker!
Kuhamia Dodoma sio msahafu!
Ni Nyerere aliamka kwa hoja zake binafsi kasema mji mkuu Dodoma!
Kinachotakiwa kufanyika,ni kufanya uzalishaji mkubwa kupita maelezo,nchi iuze ijenge uchumi mkubwa zaidi ya Kenya,Uganda,Rwanda,Burundi,Ethiopia and South Sudan combined!
Then fanya usenge wa kuhamia popote unapopata!
Cha ajabu kuhamia Dodoma ndio priority kuliko uchumi!
Kazi ya uchumi imewashinda mnajipa kazi ya kuhamishia mimeza na mabati kwenda Dodoma as if ina uhusiano wowote na uchumi output!
Wananchi wamechoka wanakula nzi na matakataka,shida yao ni uchumi sio kuhamishia meza kwenye kipande fulani cha ardhi!
katika ndo nn mkuuHivi kuna rais kavunja katika kama magufuli toka tanzania izaliwe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dodoma huo mji ulivyo na hali ya hewa mbaya?Ukiondoka nyumbani asubuhi bila kujisiliba na lotion iliyojazwa greaseline lazima ngozi ichanike haswaa.
Wewe ni mavi na kichwani umejaza mimavi....
Shame to you kama unaongoza familia basi weee ni mavi tu...... Mwanaume inabidi uwe na maamuzi mazito,
Acha wanaume tufungue wanao waje kufurahi boya wewe.
Kesho tu atarudi dar kuendelea na maisha kama kawaida..Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?