Yaani. Hizi shule zetu hizi! Zinatutengenezea watu aisee. Mtu mzima hajui matumizi ya herufi kubwa wala mpangilio wa sentensi. Ni higgly piggly.Ila unamwandiko mbaya sanaaaaaa
wanamuonea wivu tu mzee wa watuHahaha ndugai mnamsimanga sana humu
[emoji23]eti wanasema ndugu zake wa dodoma (wananchi) ni omba omba na wana ukomawanamuonea wivu tu mzee wa watu
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Yaani jamaa kaonesha ubaguzi na unyanyapaa mkubwa kwa hayo maneno.[emoji23]eti wanasema ndugu zake wa dodoma (wananchi) ni omba omba na wana ukoma
wametumwa na mabeberu kumchafua sabufa wetu[emoji23]eti wanasema ndugu zake wa dodoma (wananchi) ni omba omba na wana ukoma
Akipauza dar je atakaa wapiHuwa unamuelewa huyu jiwe?
Akili haziko sawa, anajidanganya tu, hakuna rais ataekuwa mwendawazimu atakseishi dodoma
Akili za majalalani huyo jiweAkipauza dar je atakaa wapi
Mara hii ameshaanza kupambana na kumkosoa rais ajaye kabla hata yeye mwenyewe hajaondoka madarakani na hatujui huyo ajaye atakuwaje?
Sasa bahari inaweza kusaidiaje mapinduzi kuliko nchi kavu?Nyerere alihamia Dodoma sababu ya kuogopa kupinduliwa sababu yuko karibu na bahari. Huyu naye kahama kwa sababu hizo hizo eti anaishi pangoni
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
kauli za huyo mzee sio za kuzichukulia serious. Muda mwingine huwa anaongea ili kutafuta cheap popularity toka kwa watu wasiojielewa.Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?